International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii ni historia ya aina yake. Alizaliwa mwaka 1961 huko Leningrad leo hii ikiitwa St.Petersburg, miaka ya 1980 kabla hata hajafikisha miaka 20 akapewa hukumu ya kifungo cha miaka 2 na baadaye 13...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Vyombo vya ujasusi vya Uingereza vinasema kulikuwa na jambo kubwa zaidi ya deal la Wagner na Serikali ya Urusi katika makubaliano yaliyoongozwa na Lukashenko wa Belarus kuwarudisha Wagner nyuma...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Kama jendwali linavyoonekana hapo katika picha, Ukraine ndio imevunja rekodi kwa kupokea misaada ya kifedha kutoka Marekani kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani. Mpaka kufikia mwezi huu wa...
3 Reactions
11 Replies
901 Views
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana. Kwa nini, matukio hayo yafuatane...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanacho kitafuta ni kichwa changu. Sasa kila tatizo linalotokea ndani ya Nchi chanzo amekuwa ni mimi. Vita vya mashariki ya kongo vipo toka mwaka 1997, leo hii chama cha DPS (chama tawala)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Raisi wa Belarus anasema: "Nilikuwa nikijaribu kumshawishi [Prigozhin] kwa muda mrefu. Mwishowe nilisema: 'Unajua, unaweza kufanya chochote unachotaka. Lakini usinichukie (kwa nitakacho kifanya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha...
2 Reactions
6 Replies
528 Views
Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio...
1 Reactions
2 Replies
662 Views
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi." Katika...
10 Reactions
39 Replies
5K Views
Si mnakumbuka alikuwa analalamika kupewa ammunitions/risasi, mabomu, mizinga kidogo!! Alikuwa ameshaanza kutokuaminika. Kwa hiyo ili asiwe na lundo kubwa la silaha alikuwa anapewa kidogo tu...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin. Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
F-35 test pilots described how intense it is to fly the aircraft, The Jerusalem Post reported. "It's like an 800-pound gorilla sitting on your chest," a pilot said in a Lockheed Martin webinar...
7 Reactions
124 Replies
8K Views
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Wizara ya Sheria ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuzishtaki kampuni na raia kadhaa wa China kwa madai ya kuzalisha na kuuza malighafi za dawa za kulevya. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani...
3 Reactions
0 Replies
780 Views
Akizungumza hadharani tangu afunguliwe mashtaka 37 yanayohusu kuficha nyaraka za siri za Serikali katika mjengo wake wa Mar-a-Lago, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekana kufanya makosa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kukiwa kumebaki kilomita 200 tu msafara wa vifaru vya uasi wa Wagner mara ulisitishwa na kutolewa tangazo kuwa kiongozi wa uasi huo, Prigozhin amesitisha uasi huo na kuwataka askari wake warudi...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
ProRussia tunajua mna mahaba makubwa na utawala wa Putin, hamsikii hamuambiwi lolote dhidi ya kiongozi wenu pendwa kimataifa, kutokana na mahaba haya sasa mmmekuwa kama mazombi kabisa. Mnafikiri...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom