International Forum

News and Stories from rest of the World
Jameni Afrika lini tutakua na mifumo kama patriot air defence, yaani Urusi imeshambulia Kyiv kwa aina tofauti ya mizinga zikiwemo drones, lakini zote zimepigwa chini....ama kwa kweli haya mambo...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Bora sasa tuanze ku-balance stories, nipige nikupige, Warusi nao wahisi jinsi palivyo patamu.... Five people were wounded by overnight shelling in the western Russian town of Shebekino, in the...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Tume hiyo imeahidi kukabidhi mara moja vifaa vyalivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023 kwa Vyama vya upinzani vya Labour na Peoples Democratic Party (#PDP) vinavyopinga matokeo ya...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka...
1 Reactions
5 Replies
620 Views
Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa...
11 Reactions
145 Replies
7K Views
Belgorod, located close to Ukrainian border, has come under intensified attacks in the past few weeks. ========= Governor of Russia’s Belgorod region says two people killed and two injured when...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado. Biden, ambaye ndiye...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mzee wa Wagner anaendelea na matusi... The Wagner Group is willing to fight on in Ukraine if they get a separate section of the front without having to depend on the "clowns" who run the...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa...
5 Reactions
87 Replies
16K Views
Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikifikiria na kuwaza saana naona njia ya kusaidia Kongo ni moja tu. Ni kurudisha wabelgiji watutawale Mara ya pili ili watuonyeshe walifanyaje kipindi kile mpaka Kongo belge ikiwa ya pili...
6 Reactions
17 Replies
942 Views
Srinagar (Jammu-Kashmir) [India], May 31 (ANI): Though some parts of Jammu and Kashmir are struggling economically, the region overall is seeing a tourism revival after Article 370 was abrogated...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
December 5th, 2010 6:25 PM The Decline and Fall of the American Empire Four Scenarios for the End of the American Century by 2025 (Credit: Flickr user Beverly & Pack) 1 of 1 By Alfred J...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kufuatia kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na nchi za magharibi, uchumi wa taifa la Russia umeanza kutetereka kiasi kwamba nchi hiyo sasa imekumbwa na uhaba wa nguvu kazi baada ya wananchi wapatao...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hawa ni Warusi wanapiga kwao ndani, Putin alianzisha wenzake wanamaliza.... 30,290 views Jun 1, 2023 #belgorod #ukraine #russia Pro-Ukraine volunteer fighters set several buildings on fire as...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hatua hiyo imefanywa na Bunge la #Zimbabwe lenye idadi kubwa ya Wabunge wa Chama Tawala (Zanu PF) baada ya kukwama takriban miaka 5, ingawa Watetezi wa Haki za Binadamu wameipinga vikali. Muswada...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Vita ni tamu kusimulia kutokana na matendo yake ya kishujaa lakini pia vita ni chungu kuiona kutokana na matukio ya mstari wa mbele yaani kumwaga damu kikatili na kupatwa kwa ugonjwa wa post...
3 Reactions
6 Replies
850 Views
Volodymir Zelensky is in bad company, very bad company! He thinks he is dating the USA, the American people. In fact he is in bed with the CIA, the American Military Industrial complex and all...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom