International Forum

News and Stories from rest of the World
Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana jumatatu Urusi ilifanya mashambulizi makali ya anga na kuharibu Patriot missile defence system ya pili. Katika mashambulizi hayo, pia bohari kubwa za silaha za NATO zilichomwa. Hayo...
5 Reactions
4 Replies
833 Views
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Lab ya nyuklia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine imechakazwa vibaya na kuharibiwa nyang'anyang'a na makombora ya Urusi. Staff wa lab hiyo wanasema Urusi kwa makusudi imekuwa ikiipelekea lab...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Its a shame that a country as sane as the USA, could force other countries into supporting queer lecherous human behavior. And not only that, but that men can marry men, women can also marry...
6 Reactions
13 Replies
551 Views
Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa...
22 Reactions
210 Replies
14K Views
Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika. Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine. Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya mfumo wa patriot kupigwa kiberiti na kinzal missiles sasa ni marufuku wananchi wa Ukraine kupiga picha maeneo yaliyo shambuliwa na Urusi. Mpaka sasa wananchi 25 wamekamatwa. Je huku sio...
1 Reactions
3 Replies
732 Views
Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema pande zinazohasimiana nchini Sudan zimekubali kuongeza muda wa siku tano zaidi wa kusitisha mapigano, saa chache tu kabla ya kukamilika kwa muda wa...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Local residents walk next to damaged buildings after Russian missiles strike in Kyiv region [Handout: Head of the National Police of Kyiv region Andrii Nebytov/Telegram via Reuters] LIVE...
1 Reactions
8 Replies
900 Views
Super anazidi kutembezewa kichapo Cha mbwa mwizi. Hawa askari walichinjwa ikiwa ni siku Moja tu baada ya kuwasili katika kambi zao huko Mariupol🥱🥱🥱🥱🥱 --- About 100 Russian soldiers were killed...
2 Reactions
12 Replies
917 Views
Rais Samia na Makamba...kama inawezekana Zimbabwe hata hapa Tanzania inawezekana. === Zimbabwe bans export of its valuable raw mineral lithium, essential for making electric car batteries, and...
0 Reactions
2 Replies
501 Views
Magaidi wa kidini wa Alshabaab wamekosa shehena za mabomu walizokua wanaletewa waendelee kujilipua. ======= Somalia's National Intelligence Agency (NISA) on Thursday said that it had seized two...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua. Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Warusi hawana amani tena ndani ya Urusi.... A construction worker was killed near the Russian village of Plekhovo, a few kilometres from the border with Ukraine after shelling from the Ukrainian...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeona hii taarifa, Sasa sijajua kama alikuwa Naitobi au la,
1 Reactions
8 Replies
675 Views
Back
Top Bottom