Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema.
Yevgeny Prigozhin...
Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa...
CNN, BBC, Reuters na media nyingine zinaripoti kwamba hali ya uchumi wa Germany imezidi kuwa mbaya. Uchumi wa Germany una experince recession period sababu kubwa ni ukosefu wa Nishat ya Gas na...
Bei ya umeme nchini Finland imeporomoka chini ya dola sifuri hadi kufikia hasi(kuna maeneo watu wanapata umeme bure bila kulipia!) kutokana na nchi hiyo kuzalisha umeme mwingi uliopitiliza...
Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya...
Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo.
Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa...
Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko!
Asilimia 80 ya mji mkuu kiev...
Ukisikia dunia ina vituko ni vituko. Mwaka 2010 huko nchini Canada mwanaume mmoja alikimbia ujauzito wa mwanamke aliyempa mimba na kuishi kitongoji kingine.
Baada ya muda aliokota kichanga kikiwa...
According to report Elon Musk and his company are on the final stages of making a Robot Wife. The supply of Robot Wives is expected to roll out in September 2023. They will reach Africa by...
Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani.
Naona kama vile there...
Those LGBTQ are treated like the lastborn, blacks on the other hand play a victim role, even tho most of black communities are filled with violence, prostitution, robbery and all kind of stupid...
Watu milioni 828 Duniani ambao ni takribani Asilimia 10 ya watu wote wanalala bila kula kila siku, ikiwa ni ongezek la watu milioni 46 zaidi ya ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita.
Takwimu hizo...
A cognitive infrastructure is being built,yet we don’t even know it.
Things like railways, electric grids, or universities are immediately recognizable as discrete elements of useful...
Tarehe 25 May 2023 moto ulilipuka makao makuu ya wizara ya Ulinzi wa Russia Russia ikatoa statement zinazogongana
Watu waliona zimamoto kibao zikitoka kila kona zikienda kuzima moto wizara ya...
Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis...
Baraza Kuu la Uchaguzi nchini humo (YSK) litatangaza matokeo ya mwisho na rasmi ya ushindi wa Erdogan mnamo Juni 1. REUTERS/Murad Sezer
Duru ya pili ya uchaguzi Jumapili ilikuwa ya kwanza katika...
Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni.
Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi...
The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology.
Its products carry “serious network security...
Mamlaka za mashitaka katika mji wa New York zimefanya mkutano na waandishi wa habari na kutoa taarifa kwamba katika jengo moja la Ofisi katika eneo la Chinatown kimegundulika kituo cha Polisi cha...
China hivi karibuni ilitangaza kupiga marufuku kampuni za miundombinu muhimu nchini humo kununua bidhaa za Kampuni ya Micron ya Marekani inayotengeneza chip za kapyuta, baada ya kampuni hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.