Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika
Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la...
Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System.
Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna...
Mifumo ya ulinzi wa anga Kyiv ipo imara sana, yaani drones za Iran na hypersonic za Warusi zimekua kama toy...
Yaani usiku wa kuamkia leo zaidi ya drones 40 zimepigwa chini....
Ukraine's capital...
Katika miaka 12 iliyopita Uingereza imejiingiza kijeshi kwa siri katika nchi 19 duniani
Matokeo ya utafiti mmoja uliofanywa yameonyesha kuwa vikosi maalumu vya Uingereza vilihusika katika...
Marekani ametimiza malengo yake kwa Ulaya ila amefeli kwa Urusi.
1. Lengo la Marekani lilikuwa kumshusha kiuchumi Ujerumani. Ikumbukwe kuwa Ujerumani ndilo taifa lililokuwa na uchumi imara barani...
Mei 29, 2023, Taifa la #Nigeria, lenye utajiri wa Dola Bilioni 441 GDP na idadi kubwa ya Watu Barani #Afrika (Milioni 223), litashuhudia kuapishwa kwa Rais Mpya, #BolaTinubu na Makamu wake...
"Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya...
Dangote kafungua kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta.
Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 600,000 kwa siku (600K BPD)
Kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kuliko vyote Afrika...
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.
Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada...
Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanya ghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw)
========
Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya...
Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya...
Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na...
Marekani yasikitika kuwa the US Patriot missile defence system iliyopelekwa Ukraine kulinda anga la Zelensky, imeharibiwa vibaya mno na makombora ya Hypersoniki ya Urusi (Kinzhal Hypersonic...
Ukraine waendelea na ujasiri wa kuanza kupiga ndani ya Urusi moja kwa moja......
Russia’s southern Belgorod region bordering Ukraine came under attack from Ukrainian artillery fire, mortar shells...
Kiongozi wa chama cha EFF cha Afrika Kusini: Russia inapambana na ubeberu, nitaipa silaha
Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), chama cha tatu kwa ukubwa cha kisiasa nchini...
Mohammed bin Salman wa Saudia akataa kukutana na Netanyahu
Duru za kidiplomasia za kigeni zinasema kuwa hakuna maendeleo yoyote katika kuanzishwa uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia kati ya...
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha...
Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi:
“Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.