Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa...
SIMULIZI YA RAIS PAUL KAGAME: MKIMBIZI ALIYEONJA JOTO YA JIWE NA KUWA RAIS WA RWANDA ( SEHEMU YA 1)
Na,
BRIGHT KAROLI.
Ijapokuwa ni mmoja kati ya mwanajumuiya ya Watusi, ameonekana kuunganisha...
Mzuka wanajamvi!
Kagame kapeleka majeshi yake Central African Republic haraka haraka kwa kisingizio cha kuleta amani na kusaidia serikali ya sasa isipinduliwe na waasi kuelekea uchaguzi mkuu...
Nimechagua kua upande wa kagame kwa kua na sifa zote za kiongozi bora anazo loyal kwa watu wake wa Rwanda anaiweka rwanda kwanza na watu wake hutu and tuts na sio maslahi binafsi
Intelligence, ni...
Kundi la wazungu 288, waliokuwa wakioigana vita na M23 upande wa DRC, leo wametolewa kwenye kambi ya MONUSCO huko Goma, kuelekea mpakani mwa Rwanda na DRC. Wakisindikizwa na jeshi la M23, kundi...
CHIMBUKO KUU LA VITA NA MAPIGANO NCHINI CONGO DRC.
Ni muhimu sana kuelewa historia kujua kwanini hadi sasa kuna vita hizi na mapigano haya. Ndani ya nchi ya Congo DRC kuna makabila mengi ikiwa ni...
Ana umri wa miaka 41.
Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America.
Ni raisi machachari kwelikweli.
Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya...
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa...
Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu.
Tanzania kwa sasa tupo...
Amani iwe kwenu wadau
Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23
Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23
Kibabe sana
Tuendelee...
Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake.
Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na...
Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi.
Huyu mzee...
Amani kwenu wakuu
Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na...
Nahisi mgogoro wa congo ni zaidi ya tunavyoelezwa,ila hakuna anaetaka kusema ukweli.
1) Dhana ya wizi wa madini,
Mnashangaa sana Kwa Nini wanunuzi wakubwa wa madini na rasilimali za congo kwa...
Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi...
Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.
Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema...
Vipi wakuu.
Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.