Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa...
Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja.
Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio...
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi...
“Rwanda is a problem for the entire Great Lakes region and that tomorrow they will no longer have anywhere to go into exile.
Kwa kiswahili: Rwanda ina uhasama na majirani zake wote kwene huu...
Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo, uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo
Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio...
Democratic Republic of Congo zamani Zaire kama nchi wanapitia kipindi kigumu kwa sasa kutokana na Waasi wanaojiita M23 kuendesha vita nchini humo na kufikia kuteka baadhi ya miji muhimu.
Pamoja...
Wadau hamjamboni nyote
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump
Mungu ibariki Israel
Netanyahu lands in Washington, to...
Waziri wa mambo ya nje DRC Theresa Kayikwamba Wagner ameziomba na kuzitaka timu za mpira wa miguu Ulaya Arsenal, Bayern Munich na Paris saint Germain PSG kusitisha mara moja mikata yao ya ufadhili...
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?
Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu...
Huyu mkuu wa kundi la waasi linaloitwa Congo River Alliance wakiwemo M23 wanaotaka kumng'oa Rais Tshisekedi ndiy aliyekuwa mkuu wa tume ya uchaguzi iliyomuingiza Tshisekedi madarakani mwaka 2018...
Jenerali Mubarakh Muganga, Mkuu wa Majeshi wa Rwanda Defence Force (RDF), aliamriwa na Paul Kagame kuongoza operesheni ya kuteka Jiji la Goma.
Mnamo tarehe 6 Januari 2025, alihamia Rubavu, mji wa...
Rais wa Rwanda Pul Kagame amewafukuza kazi wanajeshi kwa kutia saini miongoni mwao akiwemo Meja Jenerali Martin Nzaramba, Kanali DKT Atienne Uwimana na maafisa wengine 19 ambao hawakutajwa majina...
NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani
Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa...
Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA.
**************** *******************
Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse...
Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya...
1. Wahutu wanahisi kukaliwa kimababu, mkono wa chuma na Kagame, hivyo kikipigwa Rwanda sio wamoja
2. Uchumi wa Rwanda ni fragile
3. Population ndogo
All in all vita ni mbaya maana ukiachana na...
Historia Inaonyesha Wanyamlenge/ wanyarwanda wameishi Mashariki mwa DRC kuanzia karne ya 19. Wengi walipelekwa na serikali ya kibelgiji na baadae wengi walihamia miaka ya 60-65.
1971 serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.