Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu.
Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa...
Jamani mmeongea sana na wengi mmemtukana yule mzee mkisema watu wanaenda kufa ila kuna kitu mmekisahau hasa kauli ya Trump sababu ya kujitoa ilikuwa ni moja tu CHINA CHINA CHINA yaani Trump...
Baada ya kundi la waasi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kuuteka mji wa Goma, na waliokuwa wamekimbia vita kurejea majumbani kwao, leo tarehe 1 Februari 2025, kuanzia saa kumi...
Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana
Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa.
Hii ni kutoka X (Twitter)
I held two conversations this week with President...
1. Zote ni vinchi vidogo kieneo.
2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine.
3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara.
4. Wote wana wazo la kujitanua...
The Democratic Republic of Congo (DRC) continues to grapple with a complex and escalating conflict, particularly in its eastern regions. Here's an analysis of the latest developments over the last...
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni...
Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo...
Hotuba hii ambavyo iko live sasa haijulikani ni ya lini hasa lakini ni ya hivi karibuni. Akiongea na Waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa.
For protection of our small Nation I do not need...
Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo.
Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Nimeona nije hapa niweke mambo sawa
Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana
Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi...
The Democratic Republic of Congo’s foreign minister Therese Kayikwamba Wagner has urged soccer clubs Arsenal, Bayern Munich and Paris St Germain to end their "blood-stained" sponsorship agreements...
Zaidi ya watu kumi na wanne waliuawa baada ya ndege ya mikoa ya American Airlines yenye abiria 64 kugongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk dakika chache kabla ya ndege hiyo kutua kwenye...
Hawa wajomba, wanaenda kujaa kwa fally ipupa mil 65, mpaka wakafa 1500.
Walikua wanagombea kuzama ukumbini au wako kati.
Haya usiulize, nishahudhuria Diamond jubilee, Silent inn, leaders sana tu...
December 2023 Idf ilitangaza kumuua kwenye shambulizi kamanda wa Hamas Haitham Al hawajri
Siku ya jana kwenye makabidhiano ya mateka kamanda Haitham alionekana akimu-escort Keith siege na...
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi...
Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai...
Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue
Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china...
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas .
Huku majaaliwa ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.