Sometimes ago,I said America will become a third world country in no time.I was mocked and given names.For many of us who have never been to the US,we tend to believe that everything iin America...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia...
Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena...
Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi.
Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada...
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba...
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Huu ni msemo wetu waswahili ukiwa na maana ya kwamba hakuna kitu kikubwa kisichokuwa na mwisho wake.
Dunia yetu hii imekuwa na wababe wengi sana, waliweza kuleta...
Chanzo ni ubalozi wa India DRC M23 wapo umbali wa kilomita ishirini kuingia Bukavu.
Hiyo maana yake ni kuwa wapo wanagawa kichapo kwa Burundi na DRC combined na kama kawaida inaonesha kama...
MKATABA WA KUMWEKA FELIX TCHISEKEDI MADARAKANI
Mnamo Tarehe 22/11/2018, siku ya Alhamisi katika eneo la Upper Hill kwenye ofisi ya Mzee RAILA AMORO ODINGA kulifanyika mkutano, Ajenda kuu ya...
Wakuu,
Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.
Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya...
Hili limeniumiza sana
Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu...
Machifu watano wanadaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki John Otieno...
Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao...
Canada imechukua hatua ya kujitenga na Marekani baada ya Rais Donald Trump kuwekea ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka china .Viongozi wa...
Habari wakuu!
Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu.
1.Viongozi wa...
Niende moja kwa moja kwenye mada dunia ya leo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia haiitaji tu kuq na vifaa bora vya kupigana na adui yako ukizingatia ata m23 piq wamewekeza kwenye ubora wa vifaa...
Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika...
Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii...
Inakuwaje wanajamvi
Jeshi teule la taifa teule tukufu/takatifu la Israel IDF limethibisha kumuua lile gaidi wa Hamas mweusi mwenye asili ya Africa ambaye alitrend sana October 7 23 akikata mauno...
Rais Donald Trump ameagiza Wizara ya Mambo ya ndani kupanua na kuongeza nafasi kwenye gereza la Guantanamo Bay lengo likiwa ni kwenda kuwapeleka wahamiaji wote watakaoingia Marekani kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.