Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana.
Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano...
Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha...
Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC;
Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari...
Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua.
Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi...
Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi...
Kwa nini Marekani inaendelea kuwa na vituo vya kijeshi katika nchi za bara la Africa?
Hivi vituo vya jeshi la Marekani vilivyoko Africa nchi za Kenya, Djibouti, Ghana, Cameroon, Senegal...
China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani.
Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha.
Katika taarifa...
Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao.
Hata hivyo...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na...
Trump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka...
Je, ni kitu gani kinampa ujasiri wa kuwadharau Marais wa nchi zingine?
Inafahamika uwezo wa kijeshi hana lakini ana mbwembwe nyingi na kamdomo kwa wingi.
Je, si wakati muafaka kumpa kipigo cha...
Wanaukumbi.
Hong Kong
CNN
—
Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on...
Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe?
Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu...
Congratulations Her Excellency President, Hon, Dr. Samia Suluhu Hassan for the Global Goalkeeper Award!
I‘m offering my heartfelt congratulations on your hard-earned accomplishment ensuing to...
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Na ni aibu hasa kwa...
Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge...
Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama...
Professor Jeffrey Sachs ni mtu anaeheshimika Sana Marekani..
Serikali ya Marekani imejaa wanafunzi wake...juzi amesema Washington imejaa wanafunzi wangu waliofeli 😃..
The most interesting part ni...
Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu.
Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu.
Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.