Samsung, LG, Kia, POSCO na makampuni mengine mengi ya Korea yamelazimika kutathmini upya gharama za kuendesha viwanda nchini Mexico na Kanada, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusisitiza...
Canada imewasilisha ombi la kushtukiza usiku wa kuamkia leo la kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, likichochewa na matamshi ya Donald Trump kuhusu kuifanya nchi hiyo kuwa jimbo la 51 la Marekani...
Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya.
Kagame anasema haibi madini ya Congo...
"IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION".
Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo...
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa...
Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka.
Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna...
https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ
Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
Kutokana na vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC,tarehe 26 na 27 January 2025, watu 5 nchini Rwanda walipoteza maisha kutokana na risasi na makombola yaliyotua nchini Rwanda, mjini Rubavu...
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea...
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD
▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD
▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion
▪️Labour...
Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft.
The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was...
Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza...
Wadau hamjamboni nyote?
Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea
Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The head of M23 Rebels in Goma City, General...
Wapiga kura wanachagua viongozi wa majimbo mawili yaliyojitenga na Ukraine ya Lugansk na Donetsk katika uchaguzi unaoungwa mkono na Urusi na kupingwa na nchi za Magharibi.
Waasi waliojitenga...
Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters.
Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kusitisha ufadhili wa Marekani kwa Afrika Kusini, akidai kuwa "tabaka fulani za watu" nchini humo wanatendewa vibaya sana.
Katika chapisho lake kwenye...
Philanthropist unleashes outspoken attacks on populist leaders such as Trump and Xi:
January 24, 2020 by Andrew Jack
George Soros, the financier and philanthropist, has pledged $1bn to support a...
November 30th 2022
There should be no more doubts that the West’s globalist elites want the world’s democracies to go away and their billions of people to be governed by tyrannical regimes such...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.