International Forum

News and Stories from rest of the World
Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika...
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Baada ya Bunge la Congo kujiandaa kupitisha sheria itakayomfanya Moise Katumbi asigombee urais huku kundi la watoto Wakatanga nao wakijindaa kupitisha saini ya kuwasilisha maombi yao ya kujitenaga...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Tanzania tuna kheri sana Nawatazama Wafaransa na Waisrael kupigia BBC hakika Maandamano siyo mchezo Watu hawaandamani kutetea ulaji wa wanasiasa kama Sisi waafrika Watu wanaandamana bila...
4 Reactions
5 Replies
715 Views
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita, tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho...
21 Reactions
112 Replies
8K Views
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo...
12 Reactions
104 Replies
6K Views
Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa...
2 Reactions
3 Replies
503 Views
Vladimir Zhirinovsky, the leader of the Liberal Democratic Party of Russia. The head of the populist-nationalist Russian LDPR party has warned that the Kiev regime is repeating Serbia's steps of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia Wakasai (Waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa. Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa Moise Katumbi...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
1.Dollar ya Marekani: 58% ya hifadhi ya akiba ya fedha yote ya kigeni kwa nchi mbalimbali duniani iko katika USD. 2.Euro ya Umoja wa Ulaya(EU): 20%. 3.Deutsche mark ya Ujerumani: 6%. 4.Yen ya...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Hakika ni miaka mingi mabeberu wa magharibi wametuaminisha kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwao. Tumewasoma sana akina Newton, Einstein kama wanasayansi nguli duniani. Hata wanauchumi bora...
11 Reactions
89 Replies
7K Views
Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na...
15 Reactions
36 Replies
5K Views
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini. Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wale wanapropoganda local anti-west mnaopiga yowe kulazimisha kufananisha maandamano yanayoendelea Ufaransa na Israel na yale ya Iran au Arab spring ni vyema mkaelewa tofauti hizi. 1. Mpaka sasa...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Usalama wa raia katika mitaa mbalimbali ya mataifa ya Ulaya yanaoizunguka Ukraine pamoja na Urusi yenyewe inaweza kuwa katika hali mbaya baada ya maelfu ya wafungwa waliojiandikisha katika mpango...
6 Reactions
76 Replies
5K Views
Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi. Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo. Dunia Inako Elekea Nipatamu...
16 Reactions
53 Replies
5K Views
Marekani na Ulaya huwa wanapeleka misaada ya kibinadamu katika sehemu zinazokumbwa na majanga duniani. Mfano Uturuki ilipopatwa na tetemeko, Haiti, msaada wa Chanjo za COVID kwa nchi masikini...
0 Reactions
6 Replies
613 Views
Back
Top Bottom