Baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa takriban miaka saba, Iran na Saudi Arabia hatimaye zimeamua kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia, huku zikitangaza kwamba balozi zao kwenye nchi hizo pia...
Katika mahojiano yake maalum aliyoyafanya hivi karibuni huko Raisina,Waziri huyo mstaafu bwana Iva Korkok amesema,India ni mshirika wa karibu sana wa taifa hilo katika mahusiano ya kimataifa na...
Wananchi nchini Lebanon wameamka leo wakiwa na majira mawili ya nyakati yanayopingana, huku kukiwa na mzozo kati ya viongozi wa kisiasa na kidini kuhusu ni wakati gani saa zinapaswa kurudishwa ama...
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin
Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora...
Hii vita na huu mzozo wa Ukraine kwa ujumla ungeweza kuwa umemalizika, lakini kuna wakubwa wasiotamani kabisa vita hivyo vikome.
Wanataka vita viendelee hadi pale wanayoyahitaji yatimie...
Siasa za chuki siku zote sio nzuri
Na tujue kutofautisha kati ya uzalendo na uzamwamwa
Moise Katumbi alipokea timu ya Taifa ya Congo ndani ya uwanja wa Mazembe na kuwapa matunzo yote
Baada ya timu...
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the...
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa...
Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni...
RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA
Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama
ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi...
Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao
Katika mazungumzo yao ya Jumamosi...
I will speak facts only.
U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi...
Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na...
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika...
Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza...
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu...
Na Pili Mwinyi
Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na...
Baada ya Warrant ya kumkamata Putin kutoka the Hague moja ya makosa ikiwa na kuwasafrisha pamoja na kuwatenganisha watoto wa Ukraine na wazazi hao hatimaye msemaji na Urusi Umoja wa Mataifa...
Kuungana kwaFelix Tshisekedi, Bemba, na vital kamhere ni pigo kubwa kwa Moise Katumbi.
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha Moise Katumbi matumaini yamenitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.