International Forum

News and Stories from rest of the World
Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote. Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi. Halafu Watu wakipiga...
16 Reactions
503 Replies
18K Views
Ndugu zetu waislamu wa Kaskazini mwa Nigeria wamekataza mtu yeyote kuonekana anakula mchana. Kama ikionekana unakula 'SHARIA POLICE' watakushughulikia hadharani. Bado naendelea kuamini Ujio wa...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Georgia Meloni, Waziri mkuu wa Italia, mwanamama machachari wa mrengo wa mkali wa kulia amewashukia vikali wapinzani wake wanaotaka serikali ya Italia iache kupeleka silaha na misaada mingine ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanzo aliwatisha wale watakaoisaidia Ukraine kwenye vita kua watakiona cha mtema kuni na atawageuza kuni, ila mpaka leo yupo kimya na Ukraine inasaidiwa mpaka na majirani zake kama Poland...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti...
3 Reactions
8 Replies
568 Views
Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kazi iendelee wanajukwaa.. Dunia inazidi kushudia wimbi la Wanawake kishika hatamu za Uongozi.. Zamu hii ni Georgia Meloni aliyeshinda Uchaguzi wa Italy na atakuwa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwanamke...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Monday, October 03, 2022 Brand-new Italian Prime Minister Giorgia Meloni has put the globalist elite on notice during a fiery speech following her election victory Sunday in which she said she...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
INDIA is very close nation partner in international relations, is super power in digital economy digital skills and digital technology multlatery is fighter wounded and lying in the ground...
1 Reactions
2 Replies
404 Views
Picha: Jean petter bemba Jean Petter Bemba ameteuliwa kuwa mkuu wa majeshi na felix tshisekedi Jean Pierre bemba Kabla hajateuliwa Alikuwa na nia ya kugombea urais...
0 Reactions
13 Replies
998 Views
Taratibu hiyo Crimea mtaitema tu, wizi wa ardhi ya watu ni laana. An explosion in the north of occupied Crimea has destroyed Russian missiles being transported by rail, Ukraine's defence ministry...
8 Reactions
68 Replies
4K Views
Serikali ya Marekani kupitia Wizara ya Ulinzi, Pentagon, imesema kuwa itahamisha ndege vita mpya kutoka Mashariki ya Kati na kuzipeleka Ulaya na Asia, huku Zile za zamani zikipelekwa Mashariki ya...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola...
1 Reactions
5 Replies
549 Views
Mchawi mpe mwanao akulele, ndivyo unaweza kusema baada ya Rais wa Congo , Felix Tshesekedi, kumteua aliewahi kuwa kiongozi wa waasi bwana Jean Pierre Bemba kuwa waziri wa ulinzi.Hii tafsiri yake...
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Wataalamu wametahadharisha kwamba ubora wa mbegu za kiume miongoni mwa wanadamu umekuwa ushuka pakubwa, na kuathiri uzazi. Hili linasababishwa sana na kula vyakula vya kisasa vyenye mafuta mengi...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom