International Forum

News and Stories from rest of the World
Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'. Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kauli ya Rais huyo wa zamani inakuja wakati Waendesha Mashtaka wakitarajiwa kukamilisha Mashtaka dhidi yake juu ya kutoa Rushwa ya Tsh. Milioni 300 ili kumnyamazisha Nyota wa Filamu za Ponografia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ndio Afrika. Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba. Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga...
1 Reactions
9 Replies
704 Views
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani...
9 Reactions
96 Replies
5K Views
Siasa mchezo mchafu Na sijui kama rais wangu Moise Katumbi alishauriwa kabla ya kuingia kwenye siasa Amejipanga kisawa sawa dhidi ya fitina hizi za wana siasa mbalimbali nchini. Leo chama...
0 Reactions
2 Replies
669 Views
Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakati mpango wa ziara ya raisi wa china ndugu XI ulipowekwa wazi viongozi wa Ukraine na Marekani walimuomba kiongozi huyo akifika Urusi amsisitize raisi Putin kusitisha vita ambavyo vimeshavuka...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana...
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Mamlaka zimesema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku baadhi ya nchi kama Tanzania, Britain na Zambia zikiendelea kutuma...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Na Dinna Gahamanyi BBC Swahili Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani. Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini...
9 Reactions
82 Replies
6K Views
Ni dhihirisho tosha kuna yajayo ambayo yatapendeza siku za usoni, hauwezi kuiba ardhi ya nchi jirani na kuua wananchi wake halafu usikutwe na vituko nchini mwako... ====================== At...
7 Reactions
71 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali Onyema...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Pentagon imetuma Ndege nyingine isiyo na Rubani, katika Bahari Nyeusi. Ndege hiyo ijulikanayo kama RQ - 4B Global Hawk, yenye utambulisho wa Forte 10 imeonekana ikaranda randa ndani ya bahari...
12 Reactions
57 Replies
5K Views
Baada ya crimea Putin ametinga Donbass katika ziara ya kutembelea jimbo hilo kukagua shughuli ya ujenzi! Pia aliendesha gari maeneo mbali mbali ya mji huo na kukutana na wananchi wa eneo hilo...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwanza, ni vyema tufahamu kuna makosa ambayo ukiyatenda unaweza kushitakiwa katika mahakama ya nchi yoyote duniani. Waliohusika na mauaji ya kimbari Rwanda wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Utawala bora ni dhana pana. Hata hivyo kuzidiwa katika lolote kwenye dhana hiyo na wataliban wa Afghanistan tunapaswa kujiuliza tunakwama wapi. Nepotism - Yale mambo yetu ya kujuana na kupeana...
5 Reactions
11 Replies
883 Views
Rais kigeugeu wa Uturuki Erdoğan hatimaye ameridhia Finland kuongezwa kama mwanachama wa NATO na amepeleka muswadaa huo katika bunge la nchi yake kupiga kura ya Finland kupewa uanachama. Jake...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
They stole our health, have installed all over the World puppet leaders of their choice to carry out their evil agenda.Dimentia Smoky Joe and Cocaine addict Zelensky are such puppets.In America...
9 Reactions
11 Replies
905 Views
Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF)...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom