International Forum

News and Stories from rest of the World
Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa...
5 Reactions
9 Replies
804 Views
Imran Khan adai anataka uawa Wafuasi wake zaidi ya 61 wakamatwa Nyumba yake yavamiwa, silaha zakutwa Vyombo vya habari vimezuiwa kurusha habari za maandamano Yuko Lahore Mahakamani
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Embu tuwe wakweli tuache unafiki na tuangalie uhalisia... Je leo Urusi au China angetaka kuweka makombora yake ya nyuklia pale Mexico au Cuba, Marekani angekaa kimya? Narudia tena tuwe wakweli...
18 Reactions
48 Replies
2K Views
Huyu bwana licha ya watu kumsema vibaya sana lakini kwangu na muita shujaa saana. Mobutu pamoja na upumbavu wake alijua vizuri jinsi ya kulinda amani na umoja na nchi yake. Mobutu alifanya miaka...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Inabidi Wakongo tukumbushwe kuwa Moise Katumbi sio Rais wa nchi. Mambo ya kulalamika kuwa Moise Katumbi ndiyo sababu ya maisha kuwa magumu nchini eti anaongea na nchi jirani wasilete chakula...
7 Reactions
11 Replies
880 Views
Wanakwambie tembea ujionee sio kukaa hapa Tanzania ukiskia ukahaba umezidi buguruni na sokota unasema dunia imefika mwisho wakati wewe ndio umefika mwisho kwenye maeneo uliyosikia au kutizama...
11 Reactions
42 Replies
6K Views
Naomba ufafanuzi, Said ARABIA anatoa hela nyingi kununua mitambo ya kuangusha ndege na makombora kutoka USA, lakini kila uchwao anapata hasara ya kulipuliwa matenki makubwa ya mafuta, na patriot...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Chama cha Upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinatarajia kufanya maandamano ya nchi nzima Machi 20, 2023 ili kupinga ukosefu wa umeme nchini humo na kimemtaka Rais Cyril Ramaphosa...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika...
9 Reactions
187 Replies
14K Views
This is the latest GOOD NEWS about C-19!!Although bad news for those who are already vaccinated........... After today's ruling in the American Supreme court, it is now no longer needed to be...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia...
1 Reactions
6 Replies
852 Views
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo...
0 Reactions
14 Replies
985 Views
Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa...
3 Reactions
3 Replies
571 Views
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom