Huko nchini Nigeria Kamanda wa Polisi wa jimbo la Ekiti amethibitisha kwamba mwanamume mmoja ambaye ni mganga wa Kienyeji amefariki baada ya kushiriki ngono na mke wa Mchungaji kwenye hoteli moja...
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.
Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Qin Gang hivi karibuni alisema mtazamo na maoni ya Marekani kuhusu China yamepotoshwa sana, na uhusiano kati ya nchi hizo mbili una hatari ya “kuacha njia”. Kabla...
Federal Reserve Bank imesema itakopesha Bank kadhaa $2 tril ili kusaidia kuondokana na mdororo wa mabenki.
Tayari mabenki kadhaa yamefungwa kutokana na mdororo uliochangiwa na uwekezaji mbovu...
Uamuzi huo umetangazwa na Rais Lazarus Chakwera ambaye pia ameagiza Bendera kupepea Nusu Mlingoti kwa siku 7. Hadi sasa zaidi ya Watu 19,000 wamepoteza makazi yao na wengine hawajulikani walipo...
Rais wa China Xi Jinping amepitishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo kubwa inayoendelea kwa awamu ya tatu mfululizo. Tangu alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2013, Xi Jinping amesisitiza mara kwa...
Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa...
Mwanaharakati ambaye pia ni Mtangazaji wa Redio na Televisheni, Mohamed Youssouf Bathily maarufu kama #RasBath anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuvuruga utulivu wa umma.
Anadaiwa kusema...
Muendelezo wa wataifa kubwa lenye akili nyingi kushinda dunia.
Mnakumbuka USA baada ya kushtuka chip zake na kurudusha nyumbani ili kuwa siri sasa urusi kashindwa kudukua vifaa vilivyo kamatwa...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Angola imesema itatuma Wanajeshi kwenda DRC Congo kufuatia kutoheshimiwa Kwa makubaliano ya kusitisha amani Kati ya M 23 na Wanajeshi wa Serikali..
Angola kama...
Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3.
Wafuasi hao wengi...
Kimbunga hicho kinachoambatana namvua na upepo mkali kimesababisha mafuriko na uharibifu wa makazi na miundombinu na kuna uwezekano wa kongezeka kwa madhara zaidi.
Mashirika ya misaada yanaonya...
MAOFISA WA NATO NA MAREKANI WAUAWA NA URUSI MJINI KIEV NCHINI UKRAINE
Mashambulizi ya ndege za anga za Urusi yaliyofanywa tarehe 09/03/2023 yaliweza kuvunja mahandaki mjini Kiev kwa makombora...
Marufuku hiyo ni kuanzia leo Machi 14, 2023 baada ya Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ubora, Ushindani na Ulinzi wa Walaji (Rica) kusema kuwa nyama ambayo haijawekwa kwenye jokofu ina vimelea...
Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi.
Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba...
Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa.
Tangu wiki...
Sioni dalili ya kuisha hii Vità Leo au Kesho làkini vitazidi kusambaa.
Na wakati huu Viongozi wa Afrika hasa ukanda wa Jangwa la Sahara kama hawatakuwa na maamuzi ya Hekima Kuna Hatari maisha...
Maelfu ya madaktari wa ngazi ya chini waliojiunga hivi karibuni katika taaluma hii wapo kwenye mgomo kote Uingereza wakidai malipo bora, ambapo wameanza siku tatu za usumbufu mkubwa katika...
Kulingana na Bhutan Live,India na Bhutan zina uhusiano maalum wan chi mbili na Bhutan ina sehemu kubwa zaidi ya bajeti yake inayotengwa kwa ajili ya wizara ya mambo ya nje(MEA) chini ya misaada na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.