Kwa mara ya kwanza duniani katika historia ya biashara ya kimataifa China limekuwa taifa la kwanza kuweka rekodi ya trade surplus ya $1 trillion
Kwa waliosoma commerce au economics wanakumbuka...
Vita ya Kagera ilikuwa ni ufunguo wa mambo mengi sana kwenye huu ukanda wetu. Pengine kama Iddi Amin angeshinda sidhani kama tungekuwa hali ya leo ingeendelea kuwepo: Tungekuwa na Afrika Mashariki...
Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake
Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa...
Kundi la waasi wa M23 Alhamisi limeapa kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, huku wapiganaji wake wakisonga mbele zaidi katika eneo la mashariki mwa nchi...
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA...
Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani.
mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia...
Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka...
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani.
Serikali za Afrika hususan...
Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi...
Huku waasi wa M23 wakiwa wameuchukua na kuweka chini ya himaya yake mji wa Goma, baadhi ya vikosi vya askari wa kukodiwa walokuwa wakipigana sambamba na majeshi ya serikali ya Congo DRC, imekuwa...
Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana...
Kwa miaka mingi wamekua wakiishi kwa propaganda, kuonesha wao ni special sana na kuonesha wao ni "Victims". Blaming everything and ashamed with nothing.
Wame exadurate maafa ya WWII as if hakuna...
Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote...
Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi.
Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika...
Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa.
Wizara ya mambo ya nje ya...
Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali...
Moja kwa moja..
Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi...
TUKUMBUSHANE
Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka...
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili...
Toka jana tarehe 23 Januari 2025, mida ya saa mbili usiku, mji wa Goma uligubikwa na giza.
Ni baada ya taarifa za kifo cha aliekuwa mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini Mejor General Chirimwami. Leo...