International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwa mujibu wa Australian think tank reports zimedai kuwa current China imezipiku nchi za magharibi Kwa upande wa tech ......kati ya 44 technology China Ina possess 37 kati ya hizo Duniani China...
10 Reactions
214 Replies
9K Views
Halafu kuna watu wana matumaini kuwa comedian Zelensky aka Sele atashinda hii vita[emoji23][emoji23][emoji23] Chekini hali ilivyo tete ukraine huu ni wakati wa kujisalimisha tu.
23 Reactions
203 Replies
11K Views
Katika maadhimisho ya miaka 80 ya pambano la vita la Stalingrad na waliokuwa wanazi wa Ujerumani Putin amesema sasa Russia inakabiliwa na vifaru vya Ujerumani tena. Amejiapiza na kutishia Urusi...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Reuters, mashauriano hayo yapo hatua ya awali yakilenga kupata Washirika kutoka mataifa mbalimbali, hasa Kundi la Nchi 7 Tajiri Duniani (G7) ili kuratibu vikwazo vyovyote...
7 Reactions
104 Replies
5K Views
Raia wa Georgia wako katika wimbi la mfululizo wa maandamano makubwa kupinga sheria ya vyombo vya habari inayoonekana kuwa mfano wa sheria za Kirusi za kudhibiti uhuru wa vyombo vya habari. Vurugu...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za...
2 Reactions
2 Replies
723 Views
THAMANI ya pamoja ya watu tajiri zaidi Urusi imeongezeka kwa dola bilioni 10.4 tangu Januari mwaka huu licha ya vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kwa wafanyabiashara wa nchi hiyo, Bloomberg...
1 Reactions
3 Replies
617 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Habari Wabantu wenzangu, Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba kuna njama ya kuua utambulisho wa taifa lake wa Kiarabu kwa kuligeuza taifa la Afrika unaosababishwa na wimbi kubwa...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui kama utaelewa? Kanatokea katoto ka form3 A kanasema Urusi kashindwa vita mara Urusi kapanda mara kashuka? Hata historia hakajui maskini ya mungu yaani hivi vitoto vinasikitisha kweli...
18 Reactions
135 Replies
6K Views
Habari wana Jamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu historia ya jamii ya WaKurds ambao wanapatikana katika mataifa manne tofauti lakini wako kwa wingi Iraq. Je, jamii hii ina asili yake katika nchi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya...
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Waziri mkuu huyo ametunukiwa tuzo kwa jitihada zake kuleta amani na ushirikiano wa kimataifa. Mkataba wa amani ulisainiwa mwaka jana , mgogoro wa kivita na nchi jirani uliochukua karibu miaka 20...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika...
9 Reactions
171 Replies
16K Views
Abiy Ahmed ana njia moja tu kuitoa Ethiopia katika mzozo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe 04/11/2021 Novemba 6 mwaka jana, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alitangaza operesheni za Kijeshi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Miezi 3 tangu Serikali ya #Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa kutofika madarasani...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Maafisa wa Ukraine pia wameripoti kwamba viongozi wa brigedi ya Urusi inayopambana karibu na mji wa Vuhledar. Kusini mwa Bakhmut wamekataa kutekeleza amri ya kushambulia baada ya kupoteza...
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Turkish opposition leader Kemal Kilicdaroglu emerged on Monday as the main challenger to President Tayyip Erdogan in landmark elections expected on May 14, after a six-party alliance picked him as...
0 Reactions
6 Replies
558 Views
Back
Top Bottom