International Forum

News and Stories from rest of the World
[emoji1078][emoji632] Wakati ambapo matarajio ya Wakongomani walio wengi yakiwa ni kumsikia Rais wa Ufaransa akiilaumu angalau Rwanda waziwazi kwa uvamizi wake dhidi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya...
1 Reactions
2 Replies
821 Views
Z-Library ni digital library ambayo imejipatia umaarufu wake Duniani kwa kuwa na nakala za vitabu zaidi ya 11,733,087 pamoja na Articles 84,837,643. Z-Library pia ina aina za nakala kama...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Wanadiplomasia wa Marekani na Urusi wamezungumza kwa ufupi pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni kutoka kundi la nchi 20 zilizopiga hatua kiviwanda G20, mkutano ulioshindwa kutoka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Vanessa Bryant atalipwa na Maafisa wa Polisi na Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles zaidi ya Bilioni 65 za Kitanzania kwa kusambaza Mtandaoni picha za Ajali Mbaya ya Helkopita iliyoua Mumewe na...
1 Reactions
19 Replies
995 Views
Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Mwaka jana wakati wa uvamizi wa Urusi wafuasi wengi wa Putin na washangiliaji wa uvamizi wake walikuwa wakijinasibu kwamba ushindi wa Urusi katika vita utahitimishwa kwa kipindi cha majira ya...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Nilifikiri Moise Katumbi ni mjanja kumbe bado anatumia siasa zile za kupana sijui vitenge sijui mapipi sijui nini Kuliko kujikita zaidi katika siasa za akili. Afrika ukiwa chama pinzani hata uwe...
2 Reactions
2 Replies
572 Views
Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii.... The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic...
1 Reactions
8 Replies
907 Views
Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya. Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini, baadhi ya waliofariki walikuwa wanadaiwa...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
There are estimated to be only a few hundred thousand believing Catholics left in the world today. It is believed that even these few do not actually believe in Jesus Christ,but in the doctrine...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo...
3 Reactions
4 Replies
743 Views
Chama tawala 37% Chama pinzani cha kwanza 29% Chama pinzani cha pili 25% Jumla ya upinzani 54% Hii inatoa funzo gani kwa upinzani nchini?
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni wafuasi wa dini ya Kihindu huko India wamezidi kuchukua mrengo mkali wa kidini kitaifa dhidi ya wafuasi wa dini nyingine na wakosoaji wa dini yao. Wafuatiliaji wa India...
1 Reactions
6 Replies
696 Views
Tangu juzi Rais Zelensky amesikika akisema hali kwenye mji aliosema hautowaponyoka hata siku moja kuwa ni mbaya na inadorora kwa upande wao kila saa. Pamoja na malalamiko hayo lakini alikuwa...
21 Reactions
68 Replies
4K Views
Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani. Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Yani hapa Tshisekedi hana ujanja! na akiendelea kuwa na kicha ngumu jamaa wanapewa eneo lao, maana wana mzidi siasa mala mia.
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Back
Top Bottom