International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndege za Israel za F-16 na mbili Aina ya F-35 usiku WA kuamkia Leo zimeingia kwenye anga LA Syria na kuvurumisha makombora kwenda mji mkuu WA Syria Damascus. Mashambulizi hayo yameharibu makao...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema urushaji huo wa makombora ambao uliothibitishwa na jeshi la Korea Kusini, ulikusudiwa kuthibitishwa kutegemewa kwa makombora hayo na uwezo wa kujibu...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii kitu sijui kama Serikali wanaona au Maana nimekuwa ni kufikiria nini sababu ya vita hivi huku apande wa sud Kivu ya nchi yetu pamoja na nord Kivu. Mkono wa Rwanda unaweza ukausika kufanya...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Posted on February 26, 2023 Lee County Republican Party Executive Committee votes on resolution calling for ban of covid vaccine statewide. Local GOP calls on Governor Ron DeSantis and state...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Hivi sasa nchi za Ulaya zinaendelea kukabiliwa na mgogoro mkubwa wa nishati baada ya nchi za bara hilo kuiwekea vikwazo Russia kwa kisingizio cha vita vya Ukraine. Mwaka jana, Orbán mara kadhaa...
10 Reactions
9 Replies
1K Views
Mamlaka zinamshikilia Mir Ali Koçer, Mwandishi, wa Habari wa Kujitolea anayetuhumiwa kuweka Mtandaoni taarifa za Uokoaji na hali za Majeruhi wa Tetemeko la Ardhi lililoua takriban watu 50,000...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Putin has said, without providing any evidence, that in the west “even paedophilia is announced as a normal thing.” He says the west recognizes same sex marriage. He says “That’s fine. They’re...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Zambia mpaka sasa ukifika kuna mabango ya kichina na taratibu za China. ======= Zambian President Hakainde Hichilema. His government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukanda na ukabila Kanda ya kaskazini wapo wahausa ambao wanaongoza kwa wingi, hawa ni kama wasukuma hapa kwetu, asilimia kubwa sana ni waislamu, hawa wahausa wengi hawana elimu lakini wanajya...
2 Reactions
4 Replies
952 Views
Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani...
2 Reactions
12 Replies
954 Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Mask mandates now revealed to be a complete waste of time, junk science, fraud and dumb but have politicians leanred from the error of their ways? Friday, February 24, 2023 Late last month, the...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani. Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea...
20 Reactions
32 Replies
3K Views
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China — Wang Wenbin Ametoka hadharani na kuzungumza ukweli wote kuhusu uhusika wa taifa la Marekani katika migogoro na uanzilishi wa vita duniani. Wang...
8 Reactions
7 Replies
826 Views
Mji wa Kerdzh huko Iran umeshambuliwa , kuna air defence activities zinazoendelea kulinda anga
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na...
17 Reactions
146 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Prigozhin (C) alidai mwezi uliopita kuuteka mji wa Soledar wa Ukraine kabla ya jeshi la Urusi kutangaza kwamba wanadhibiti eneo hilo 23 Februari 2023 Mkuu wa mamluki wa Urusi Yevgeny Prigozhin...
2 Reactions
6 Replies
830 Views
Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23...
4 Reactions
11 Replies
527 Views
Back
Top Bottom