BBC Swahili wamepost muda huu kuwa Uturuki na Syria zimekumbwa tena na tetemeko muda huu
Habari zaidi zinakuja.
====
Siku 14 tangu kutokea kwa Tetemeko la Ardhi lililoua zaidi ya Watu 47,000...
Kundi la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, kuwa kiongozi wao baada ya Kanisa la Uingereza kuunga mkono maombi...
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali...
Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na...
Tumeona jinsi ambavyo DRC anahangaika na waasi kwenye eneo lake la mashariki.
Je, sisi kama taifa tuna mikakati Gani ya kulinda maeneo yetu ya magharibi Kwa matukio kama haya? Au tunajiaminisha...
UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257
Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6...
Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa...
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili.
Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao
Msikilizeni Honorable...
February 17, 2023
The Greatest Hoax of all time ever carried out by the NWO Cabal
Following is the transcript of a taped presentation by Serge Monast, a French-speaking Canadian journalist...
New World Order is a pretty frightening theory, even if you choose not to believe in conspiracies. But it doesn’t come as a surprise that millions of people believe there is something going on...
Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo.
=======
More than 20...
Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.
Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa...
Kudos Wadau.
Tunaendelea na vituko vya Walokole.
Mchungaji mmja aliyejulikana Kwa jina la Francisco Barajah wa huko Msumbiji amefariki akiwa kwenye mfungo wa siku 40 Akijaribu kuifikia rekodi ya...
Anacho Kifafanya rais felix kchikekedi ni kulitia aibu taifa letu
Kila anapo kwenda ni kusema Rwanda ndo wanatuua kuliko yeye aje atuambie wakongo tujenge jeshi imara ili tupate kupigana na huyu...
Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi.
Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo...
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao...
Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu....
=================
MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia...
Wayahudi walihama eneo la Palestina na likabaki kuwa na Wayahudi wachache.
Wayahudi walianza kuhamia tena kwenye eneo hilo miaka ya 1900s likiwa chini ya utawala wa dola ya Ottoman na kwenda...
Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei.
Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.