International Forum

News and Stories from rest of the World
Tunaweza kuliweka kisiasa na kiushabiki sana kuhusu silaha hatari za nyuklia kama kuongea kujifurahisha. Silaha za nyuklia ni hatari sana kimatumizi na kama zikitumika zote tusitegemee kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Watafyekwa sana hawa. The head of the Wagner group, Yevgeni Prigozhin, who commands in Ukraine a network of mercenaries allied with the Russian Armed Forces, has intensified his criticism of the...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa nchi za upande wa mashariki mwa Ulaya, ambao ni wanachama wa jumuiya ya Kujihami ya NATO. Kwenye mkutano huo wa Jumatano huko Warsaw Poland...
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Kugunduliwa kwa chuma kikubwa cha mviringo kinachofanana na mpira wa miguu katika mji wa pwani ya Japan wa Hamamatsu, takriban kilomita 200 kusini magharibi mwa Tokyo, kumezua wimbi kubwa la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari...
1 Reactions
4 Replies
870 Views
Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano. ======== President Yoweri...
0 Reactions
6 Replies
738 Views
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana.... R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee... Ukrainian forces recovered one of...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nyaraka za siri zilizovuja kutoka utawala wa Kremlin nchini Urusi zinaonyesha Urusi iko katika mpango mkakati wa kuifanya Belarus sehemu kamili ya Urusi kufikia mwaka 2030. Nyaraka hizo ambazo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Taarifa mpya ya Wizara ya Afya imeonesha Maambukizi yamefikia Watu 46,219 kutoka Wilaya zote 29 za Nchi hiyo huku Watu wenye mahitaji maalumu yakiwemo ya Maji Safi wakifikia Milioni 4. Umoja wa...
0 Reactions
6 Replies
881 Views
Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Katika Maisha yangu kitu ambacho ninaamini ni kuwa ukibomoa usitegemee mimi kujenga na mimi nitamalizia ili tubomoe wote. Kuniita mgeni katika nchi yangu na kunitukana kila kukicha ni maneno...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's...
7 Reactions
202 Replies
11K Views
Wizara ya Haki imependekeza umri wa Mtoto kuridhia kufanya tendo la Ndoa uwe miaka 16 kutoka miaka 13 ya awali ikiwa ni mabadiliko mapya ya Sheria yanayotarajiwa kudhibiti Uhalifu wa Kingono...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo...
1 Reactions
1 Replies
518 Views
Ramzan Kadyrov anadai suluhisho lake ndilo pekee litakalookoa taifa la Urusi na watu wake Iwapo Rais wa Urusi Vladimir Putin anataka kukomesha haraka operesheni ya kijeshi ya nchi hiyo nchini...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui."...
1 Reactions
4 Replies
761 Views
Moja kati vitu napenda kuhusu Urusi ni kukataa mambo ya ufirauni!! Huyu ni mchezaji raia wa Urusi amekataa katakata ku support ushoga! NB: Ukiona unashabikia WEST na wewe ni muafrika think...
15 Reactions
51 Replies
3K Views
Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii. Kupitia kusara hizo ilichapishwa...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Habari Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia. Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa...
8 Reactions
129 Replies
5K Views
Hii kauli umenikumbusha jinsi Chadema wanavyomshambulia marehemu wakati alipokuwa Hai Waliufyata Putin yuko mubashara BBC analihutunia Taifa na Dunia kwa ujumla
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom