International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kanisa katoliki litalipa dola za kimarekani zipatazo millioni 166 kwa watu walio ingiliwa na mapadre wakati wakiwa watoto wadogo na wakiishi katika himaya za kanisa. Wengi wa watu hawa ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Following the statements of the late Peter Cirimwami, the major obstacle to fighting Rwanda came from the Kinshasa political hierarchy instructing ceasefire whenever FARDC took over the enemy. The...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology! Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI. Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana...
1 Reactions
42 Replies
807 Views
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Karoline leavitt mwenye aliyeteuliwa na Trump kuwa msemaji wa Ikulu ya Marekani katika utawala wake wa awamu ya pili ameweka rekodi ya kuwa msemaji mdogo zaidi katika nafasi hiyo. Soma: Donald...
3 Reactions
11 Replies
510 Views
Kutokana na kuongezeka kwa vurugu katika jiji la Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ubalozi wa Marekani huko Kinshasa umewashauri raia wake kujificha na kisha kuondoka kwa usalama...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye...
2 Reactions
7 Replies
464 Views
Shambulio la Israel hivi majuzi pale Gaza mjini Al-Mawasi katika mji wa Khan Younis, imepelekea nitafakari kwamba Israel imedhamiria kuisafisha Gaza yote na kuwaondoa Palestinians wote haijalishi...
24 Reactions
106 Replies
4K Views
Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais. Unamwona...
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Mateka waliochwa leo kutoka kwa hamas wameonekana wakiwa kwenye afya nzuri hali inayoashiria walikua sehemu salama na walikua wakiishi vizuri, tofauti na wapalestina waliochwa kutoka jela za...
12 Reactions
112 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Huko kinshansa kimenuka Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23 LONDON BOY
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza...
18 Reactions
95 Replies
7K Views
Kuna wimbo fulani wa kisabato unaitwa kishindo cha wakoma ulivuma sana ni wimbo mzuri. Sasa kishindo cha Chips atakacho kutana nacho marekani kutoka kwa China kitakuwa kizito sana kitashika eneo...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS.... Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kiongozi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui...
17 Reactions
86 Replies
2K Views
Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
1 Reactions
7 Replies
218 Views
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea. Mwaka 2016 Trump...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Pata shida upate akili ================== Kuibuka kwa programu ya Kichina inayotumia AI inayoitwa DeepSeek kumekuja baada ya tangazo kubwa kutoka kwa Rais Donald Trump kuhusu kuendeleza maendeleo...
2 Reactions
11 Replies
908 Views
Baada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…