JE, WAJUA MGOGORO HUU UNA HISTORIA NDEFU TOKA ENZI ZA MANABII:-
1. IBRAHIM (ALIISHI MIAKA 1900 BC)
2. ISAKA & ISMAIL
3. YAKOBO (YACOUB)
MWANDISHI MUAANDAAJI NI:-
MASUDI RUGOMBANA.
Israel ni...
Hivi Waafrika tutaendelea kusubiria Mzungu ndio atusaidie hadi lini?
Ni vyema tukawa na suluhisho la Afrika kwa matatizo ya Afrika..
Somalia imekumbwa na Ukame mwaka wa 4 mfululizo na watu Sasa...
Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa...
Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita...
Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi...
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 07, 2022 02:36 UTC
[https://media]
Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza...
Zaidi ya nusu ya Wanajeshi wa Urusi waliohamasishwa (Mobilized) wamerudishwa makwao baada ya uchunguzi kuonesha kwamba hawana sifa za Kuingia kwenye uwanja wa Mapambano katika Vita vinavyoendelea...
Wajuzi wa mambo!
Russia alitegemea jeshi la Ukraine lita surrender na kukubaliana na matakwa yao ikiwemo kutokujikurubisha na NATO na Ukraine kutumika kama njia ya kuishambulia Russia, lakini...
Hii ni baada ya kutwaa karibu majimbo manne ya kimkakati ambayo ndo yalikuwa yanashikilia uchumi wa ukraine kwa kiasi kikubwa.
Wiki jana urusi ilitangaza kuyatwaa wajimbo hayo kupitia kura ya...
Maafisa wamegundua njia hiyo haramu iliyounganishwa kutoka baharini ikiwa na urefu wa kilometa 4 katika moja ya kituo ambacho kinasambaza mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku.
Mkuu wa Kampuni ya...
Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la...
Ujerumani yalalamika kuwa Marekani na nchi nyingine rafiki zinawauzia Ujerumani gesi kwa bei ghali mnoo...Ujerumani yasikitika kuwa nchi hizo zikiongozwa na Biden zinajaribu kunufaika zaidi na...
Russia’s parliament fully ratifies unification treaties
The Federation Council has approved agreements with four former Ukrainian regions on accepting them as new Russian territories
Russia’s...
Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea...
Maafa hayo yametokea katika Jimbo la Anambra katika boti iliyokuwa imebeba watu 85 kutoka Onukwu kuelekea Nkwo Ogbakuba.
Watu hao walikuwa wanahama kutokana na ongezeko la maji maeneo yao...
Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita.
Kwa msingi huo...
Mlipuko umetokea kwenye kambi ya jeshi Korea kusini muda mchache uliopita.
Taarifa za awali zinadai kwamba ni ajali.
#BREAKING: There has been an explosion at an Airbase in South Korea.
Early...
ilikua ni hujuma wala haihusiani na shambulio la HIMARS. ilikua ni ajali ya kawaida.
yah because hizi ndio habari pro russia wanaweza kuziamini kwa haraka na si vinginevyo.
Taasisi nyeti nchini Rwanda ikiwemo mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii sasa inaongozwa na Wataalamu wa kigeni.
• Christopher John Wales (Uingereza)
Mwenyekiti wa Rwanda Social Security...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.