International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu wengi wanashangaa kwanini U.S anamwaga mpunga Ukraine katika nyakati ngumu za recession nchini kwake. Kama mtakuwa na kumbukumbu mtakumbuka Donald Trump alikuwa impeached kwa kutishia...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza. Uamuzi huo umefikiwa...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
taking advantage of EU energy crisis – Paris Washington is selling gas to the EU for four times what it charges at home, the French finance minister says US taking advantage of EU energy crisis –...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 8 Oktoba 2022, kila mtu Duniani aliamka na habari ya mlipuko katika daraja la Kerch, ambalo linaunganisha nchi ya Urusi na Peninsula ya Crimea. Mlipuko huo ulisababisha njia moja ya...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais Putin amesema kuwa Ukraine imehusika kwenye shambulizi la kigaidi la daraja la Crimea. Shambulio hilo lilisaidiwa na baadhi ya raia wa Urusi na raia wa nchi nyinginezo. Shirika la kijasusi la...
10 Reactions
91 Replies
5K Views
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanajeshi wa Urusi walifanya shambulizi kubwa la roketi katika miji yote ya Ukraine Jumatatu asubuhi. Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu, shambulizi lilifanywa katikati mwa Kyiv. Milipuko...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Zelensky asema majeshi ya Urusi yamenyesheleza mvua za makombora Ukraine kote. Kyiv imepigwa kibiriti...mtaa wenye ofisi kuu za shirika la kijasusi la Ukraine pia umepelekewa moto mkali wa mvua...
19 Reactions
138 Replies
11K Views
Mwanamke mmoja akiwa kichwa wazi bila kuvaa hijab, ameonekana akirusha mawe kwenye Jengo la Serikali linalohusika na Usimamizi wa Sheria za Kiislam ikiwemo uvaaji wa Hijab. Chanzo: Verified...
2 Reactions
10 Replies
761 Views
International Red Cross suspends operations in Ukraine The move comes after Russia launched missile strikes across the country International Red Cross suspends operations in Ukraine Emergency...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi. Naanza...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets. makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Waandamanaji laki moja na elfu tisini na tatu wamwagika kwenye mitaa ya Uingereza wakipinga kulipia bili zao za umeme baada ya nishati hiyo kupanda juu zaidi kutokana na Urusi kutowapa gesi na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mashambulizi yao leo katika maeneo mbalimbali kama barabara zilizojaa watu, ofisi, maeneo ya biashara na sehemu za kucheza watoto Kyiv na miji mingine yaliandaliwa na kupangwa muda mrefu na...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ripoti zinazotufikia hivi punde zinasema milipuko kadhaa imekumba mji mkuu wa Ukraine wa Kyiv. Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili baada ya daraja pekee linalounganisha Urusi na Crimea...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Kikao cha 18 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) kilichokaliwa Desemba 22, 2021 kimeikubali Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC Hatua hiyo imekuja baada ya nchi...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Zaur Dadayev, who has been charged with involvement in the murder of Russian opposition leader Boris Nemtsov inside a defendant's cage inside a Moscow court building An ally of the Russian...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajaribu kutuangamiza Duniani' - Zelensky Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema. Msururu wa mashambulio ya makombora...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kuisaidia Belarus kwa kuwapelekea mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia Putin ameweka msimamo huo baada ya kukutana na Rais wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna mlipuko kwenye daraja la Crimea asubuhi hii, Crimea ni daraja muhimu sana linalounganisha urusi na Crimea , Taarifa zaidi zitakujia badae nafkiri Ukraine army wameandaa special birthday Gift...
15 Reactions
147 Replies
9K Views
Back
Top Bottom