Marekani ilitangaza vikwazo vipya Jumanne dhidi ya Taliban, kama adhabu kwa ukandamizaji wao wa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakeni Anthony Blinken...
Nchi ya Angola ambayo inapatikana huko upande wa magharibi kusini mwa afrika , basi wapo mbioni kurusha satellite yao nyengine ambayo itajulikana kama Ango-sat 2 ambayo itakwenda kuchukua nafasi...
Na Gianna Amani
Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu...
BRUSSELS -- NATO will push ahead with long-planned nuclear exercises next week despite rising tensions over the war in Ukraine and President Vladimir Putin's insistence that he is not bluffing...
Na Gianna Amani
China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya...
Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank
Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron
Polisi wa Palestina...
Kyiv. Ukraine will receive four IRIS-T air defence systems from Germany instead of one as originally planned-Kyiv post.
At the same time, US announced a new security assistance to Ukraine-Today...
Moja ya masuala yanayoumiza kichwa dunia nzima kwa sasa, ni kujenga mahusiano mapya kati ya binadamu na mazingira ya asili baada ya uharibifu uliotokea na unaoendelea kutokea.
Dunia ina kampeni...
NA BRYAN OTIENO
Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”.
Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950...
Uchunguzi mpya uliofanywa na chuo kikuu cha Harvard cha Marekani umeonesha kuongezeka kwa kiwango cha raia wa China kuridhika na utendaji wa serikali ya nchi hiyo tangu mwanzoni mwa karne hii...
Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Anhui, katikati ya China, na kuanzia ziara hiyo katika mto Huai ambao unachukuliwa kama mpaka wa kijiografia kati ya sehemu za kusini...
Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza...
Miaka 40 baada ya kuanzishwa kama eneo maalum la kwanza la Ukanda wa Kiuchumi nchini China, Shenzhen imeibuka na kuwa alama ya mageuzi na ufunguaji mlango wa China. Mji huo umebadilika kutoka...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia...
MK254 , huyu kamanda wetu mpya Sergei Surovikin ni ukoma aisee...
Leo jumanne pia kampelekea moto mkali Zelensky kama nyongeza ya kisasi juu ya vitendo vyake vya kigaidi vya kulipua daraja la...
Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji...
Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili...
Uingereza yasema kuwa leo giza totoro (kiza kinene) limetanda Ukraine kotee kufuatia makombora ya Urusi ya leo kuharibu miundombinu ya umeme.
Zelensky asema Ukraine haitaweza tena kuuza umeme nje...
Afisa wa kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia alitekwa nyara, Ukraine inasema
Naibu mkuu wa kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kinachokaliwa na Urusi ametekwa nyara na kuzuiliwa na vikosi vya...
War is between two armies and their resources until one opponent is either killed, salender, exhausted or umatched.
Hiting civilians houses, nursery schools, hospitals, electricity and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.