International Forum

News and Stories from rest of the World
Kutoka Vladimir Saldo kushoto, mkuu wa jimbo la Kherson aliyeteuliwa na Mosco , Yevgeny Balitsky mkuu jimbo la Zaporizhzhia aliyeteuliwa na Moscow, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katikati, Denis...
3 Reactions
3 Replies
712 Views
Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza...
6 Reactions
11 Replies
689 Views
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu. Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli...
1 Reactions
2 Replies
517 Views
Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine. Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Leo Mrusi kamvamia Ukraine, sio kwa sababu ni mkatili, bali maslahi yake yaliwekwa hatarini na NATO kuwa Ukraine. Marekani anamuua Gadafi, Sadam sio kwamba ni katili, bali hao wote walihatarisha...
2 Reactions
6 Replies
673 Views
Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Liz Truss has sacked Kwasi Kwarteng as chancellor following the disastrous reception to last months’ tax-cutting budget. The decision comes after unfunded tax cuts unveiled in the fiscal...
0 Reactions
5 Replies
518 Views
Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi. Katika hatua nyingine Rais huyo wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Mwafrika ni mwafrika tu na mzungu humuona mwafrika kama kiumbe dhaifu hata ufanyeje ,kilenuka mtaa wa chini ofisi ya 10 Mwanamama wa shoka liz Truss alemtumbua waziri wa baada ya kukaa kwenye...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina. Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
If the pharmaceutical drug cartels get their way, every human over the age of twelve in the planet will soon be advised to get screened for symptoms of any kind of anxiety ,mental health...
0 Reactions
5 Replies
607 Views
Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika msimu wa joto uliopita, mashindano ya mpira wa kikapu ya vijijini katika wilaya ya Taijiang mkoani Guizhou, China yalivutia macho sana. Ingawa hakuna nyota na ufadhili wa kibiashara...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha...
3 Reactions
115 Replies
6K Views
Nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC zilitangaza mnamo mwaka 2020 hatua ya kupunguza kwa kiasi kikubwa usambazaji wake duniani huku kukiwa na wasiwasi juu ya ongezeko la mfumuko wa...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Malawi imeomba Msaada wa Chanjo zaidi za Ugonjwa huo kutoka Umoja wa Mataifa (UN), ikihofia Mlipuko mwingine kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchi hiyo imerekodi visa 4,420 vya...
1 Reactions
4 Replies
666 Views
Back
Top Bottom