International Forum

News and Stories from rest of the World
Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati. Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Anga yote ya Ukraine hivi karibuni italindwa, ili tuendelee vizuri kwenye frontline bila kuwaza wananchi uswazi. ======== Britain on Thursday said it would supply Ukraine with air defense...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
The Queen "has been taken away" from the world stage and everyone who’s well knowledgeable about the New World Order Globalists knows this is the end of an era and the beginning of a new one.It...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Salman Rushdie aliyechomwa kisu huko Marekani, hali yake inazidi kuimarika baada ya kutolewa kwenye mashine ya kupumulia na sasa anapumua mwenyewe. Aliyemdhuru amewekwa ndani bila dhamana kwakua...
32 Reactions
288 Replies
12K Views
Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya...
16 Reactions
134 Replies
9K Views
Urusi yasema kuwa ipo tayari kuyapa uhuru majimbo ya Marekani yanayotakaka kujitenga toka Marekani na hivyo kuwa sehemu ya Urusi. Kauli hiyo imejiri baada ya raia wa Marekani kupiga kura...
20 Reactions
63 Replies
6K Views
Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida. Na bado litaliwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbunge huyo, Burak Erbay, mwanachama wa chama cha upinzani cha Republican People's Party amefanya tukio hilo alipokuwa akizungumza bungeni akipinga mswada unaoungwa mkono na Serikali. Chini ya...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Katika kipindi cha mwezi mumoja August to September, tulizoea kusikia HIMARS ni kiboko, ooh Ukraine inaichukua donbass yote na baada ya muda mfupi inayofuata ni Crimea. Sasa hizi kelele zimezimika...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine. Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka...
12 Reactions
67 Replies
3K Views
Kutokana na mgogoro wa kifedha unaoendelea nchini Lebanon, Benki zimeweka masharti magumu kwa watu kutoa fedha kwenye akaunti zao. Baadhi ya watu hulazimika kufanya uvamizi ili kutoa fedha kwenye...
1 Reactions
5 Replies
881 Views
Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Urusi ilitumia mwezi mmoja tu kuteka Crimea na kuikalia lakini Ukraine vita ina miezi nane Mrusi hajateka Ukraine Ukraine kiboko
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom