Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger.
Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu...
Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imefahamisha kuwa utawala wa rais Joe Biden utatoa dola milioni 2 kwa nchi ya Cuba ili kusaidia juhudi za uokozi wa dharura baada ya kimbunga Ian.
Serikali ya...
.
The youth delegation from Bangladesh called on President Droupadi Murmu in New Delhi on Friday
Delegation members, the President said that they all are future leaders of Bangladesh and the...
Siku ya Takwimu Duniani huwa tarehe 20 Oktoba kila baada ya miaka mitano, ambayo ina maana kwamba kila baada ya nusu muongo, takwimu kuhusu maisha yetu na mambo yanayohusiana huchunguzwa na...
Tajiri na mmiliki wa Space X na Starlink iliyoliyokua ikiipatia mawasiliano ya internet bure Jeshi la Ukraine ametoa tahadhari kua uwezo wa Russia kuangamiza USA na Ulaya ndani ya dakika 30 ni...
Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia.
Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye...
Katikati ya vita vya Urusi na Ukraine kulikuwa na uchaguzi huko Ufaransa. Mpinzani wa rais Macron alikuwa na sera ya kuitoa ufaransa nato na eu lakini wafaransa wakamkataa kwenye box la kura...
Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati.
--
Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a...
Vikosi vya Urusi vimeanzisha mashambulizi mapya katika eneo la Kyiv kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze zilizotengenezwa na Iran, maafisa wa Ukraine wamesema.
Vifaa muhimu vya...
BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa.
Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi...
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20.
Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad...
Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka.....
The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which...
Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo.
Stay tuned.
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea.
Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana...
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti
Mosi, leo kituo cha train mjini kiev kilshambuliwa kwa drones za kamikaze
Anga ya jiji la kiev...
Ukraine leo amenyukwa balaa kila mahali Russia anapiga
Tayari nchi nyingi zimeanza kuwaondoa watu wake na mabalozi washaanza kufunga virago
Wingu la vita lazidi kuwa nyeusi nchini Ukraine mara...
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
Wanaofahamu maana ya SMO watashangaa sana ,huu uvamizi kuitwa SMO, kwanza SMO lazima ifanywe na special force(SF).
Kwa putin tumeshuhudia kikosi ambacho kiukweli ni jeshi lisilo na mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.