International Forum

News and Stories from rest of the World
Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali London will be bombed first in World War Three, Putin...
19 Reactions
73 Replies
4K Views
Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Meli Vita nyingine ya Urusi imelipuliwa huko kwenye Bahari nyeusi karibu na kisiwa cha Snake Island. Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imeeleza kwamba "Gwaride la Meli Vita za Urusi ambalo...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
BREAKING: Iran Revolutionary Guards colonel assassinated in Tehran Mnajikauuuuusha na habari za Ukraine... Mmepigwa tena ========= A colonel in the powerful Iranian Revolutionary Guards has...
19 Reactions
146 Replies
10K Views
Huu ni ushindi mkubwa sana kwa Jeshi la Ukraine, baada ya saa chache zilizopita hivi leo kuzifurusha vikali na kuzirudisha nyuma Meli za kivita za Urusi Zilizokuwa zimebeba Makombora. Hii ina...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji...
18 Reactions
112 Replies
8K Views
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula. Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu,hii vita inayoendelea Ukraine imegawa watu ktk makundi makubwa mawili, yaani Pro -Russia ambao wanaamini kuwa Urusi lazima ishinde Vita, na Pro America ambao wanaamini kuwa Urusi lazima...
12 Reactions
73 Replies
6K Views
Dmitry Savluchenko ambaye aliteuliwa na Putin kuwa kiongozi mkuu wa mkoa wa kherson na mkuu wa Idara ya familia, vijana na michezo ya kherson military-civilian administration ameuawa leo leo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Jeshi la Burkina Faso limewapa raia wiki mbili kuhama maeneo makubwa kaskazini na kusini mashariki mwa nchi hiyo ( maeneo yanayodaiwa kuchukuliwa na waasi) kabla ya operesheni za kijeshi dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Amkeni kumekucha hukooo. Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA 😅😅😅😅😅 Mshtueni J. Makamba kwamba tumepata soko la uhakika la kuuza makaa ya mawe Germany has taken a "bitter" decision to fire...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta cha Urusi kilichopo mpakani mwa Ukraine kimeripuliwa na drones ambazo baadhi ya vyombo vya habari vya Ukraine vimedai zimetumwa na Jeshi la Ukraine katika kile...
13 Reactions
68 Replies
4K Views
Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa. Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko...
21 Reactions
24 Replies
3K Views
Urusi ndani ya JF International Forums ni nchi inayokuzwa sana kiasi cha kulinganishwa na nchi namba 1 duniani US, lakini kiuhalisia Urusi hata kwa Wahindi, Wakorea, Wajapan, Wajerumani, nk hatii...
13 Reactions
122 Replies
6K Views
Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya. Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine, ila wanajificha tu kwenye...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo...
6 Reactions
156 Replies
10K Views
Tarehe 9 mwezi wa pili mwaka 2020 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alikuwa mkutanoni Jijini Adis Ababa Ethiopia. Huko nyuma nchini kwake katika shamba lake la wanyamapori la PHALA PHALA...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake. zaidi soma hapa. ----- President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom