Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo...
By Zaid Bin Shabir
The intricately sorted data has debunked misconceptions about the rights of women in J&K especially Kashmir being “restricted” by the male dominance before August 2019...
Duniani bila connection hutoboi Maisha.
Binti wa Rais anayemaliza muda wake,Sara Duterte ameapishwa kuwa Makamu wa Rais chini ya Rais Mteule ambaye naye ni mtoto wa Rais wa Zamani wa Taifa hilo...
Habarini za jioni wanajukwaa, ninahitaji kufahamu ulipo ubalozi wa Australia hapa Tanzania. Nimeambiwa kule ulipokuwepo mara ya kwanza(Masaki) umehamishwa sasa ningependa kufahamu umehamushiwa...
Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni...
Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea...
Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.
Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank...
Baraza la Utabibu na Matibabu ya meno limetangaza kutozitambua shahada kutoka vyuo vikuu vya Ukraine zilizopatikana tangu kuanza kwa vita vya nchi hiyo na Urusi, huku Mdhibiti wa huduma za...
Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama...
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini...
Rais wa Urusi Vladimir Putin kawashika vibaya nchi za Ulaya waanza kulia njaa baada ya Putin kufunga port za usafirishaji wa nafaka.
Ikumbukwe Ukraine pamoja na Urusi ni wazalishaji wa kubwa Wa...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa.
Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid...
Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi.
Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo...
Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR.
Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata...
“Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili...
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia...
Kuonyesha mshikamano wangu na watu wa Ukraine nimevunja vunja pasi yangu ya kupigia nguo ya kirusi niliyokuwa nayo na kuitupa jalalani kupinga Urusi kuishambulia Ukraine na Kuua raia wasio na...
Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema, katika tukio la hivi karibuni la vurugu zinazohusiana na kukufuru ama...
Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.