Hii vita tuacheni masikhara. Hii vita ni Ngumu.
andunje pls do something. unatuvunja moyo asee.
Ukraine imesema imerejesha tena udhibiti wa sehemu ya mji wa viwanda wa Sievierodonetsk, ambao...
Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na...
Bunge la Ukraine limepiga kura kuunga mkono mswada unaopiga marufuku baadhi ya muziki wa Urusi kwenye vyombo vya habari na maeneo ya umma nchini humo.
Mswada huo, uliopata kura za uungwaji mkono...
Mkuu wa jeshi la Uingereza: "Lazima tuwe tayari kupigana tena Ulaya".
Barua ya Kamanda ilitumwa kwa askari na maafisa wote wa Jeshi la Uingereza, pamoja na watumishi wa umma. Image caption: Barua...
Urusi inaendelea kuunda silaha inayoweza kupooza kabisa sila za maadui zake, za hali ya juu kabisa, zikiwemo makombora ,makombora ya kudungua makombora,meli,ndege, vifaa vya mawasilano, na...
Wakati vita ya kwanza ya Dunia inatokea hakuna aliyedhani kuwa vita kuu ya pili ya Dunia itakuja kutokea, Vita kuu ya Dunia ilivyokuja kutokea hakuna aliyetarajia na ilitokea kwa mchezo huu huu wa...
Katika hali isiyo yakawaida, Chombo cha Anga cha Urusi kilichokuwa kimetumwa Kyiv, Kimeangushwa na Mifumo ya Ulinzi wa Anga la Ukraine. Mpaka sasa haijawekwa wazi ni Chombo cha namna gani na...
Francis Marquez ambaye amewahi kuwa kijakazi almaarufu Beki tatu amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa kwanza Mweusi Nchini humo..
Safi Sana wamama wa kiafrica wanazidi kuaminiwa kwenye uongozi 👇
WILD COAST – GORGONA, SNAKE PRISON ISLAND
From the turbulent reefs of the Pacific Ocean, to the sun-bleached sands of the Caribbean Sea, ‘Colombia’s Wild Coast’ takes us on a trans-oceanic tour...
Mzuka wanajamvi!
Vibaka Tehran nchini Iran wametoboa ukuta wa benki kutokea kwenye jenho lililo karibu na benki iyo nakuiba maboksi 280 (safes) zenye pesa na Vito vya thamani.
Wezi hao...
Fadhili Mpunji
Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea...
Tarehe 21 Juni ni Siku ya Twiga Duniani. Twiga ni mmoja wa wanyama wanaopendwa zaidi na watu barani Afrika. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kupungua kwa wanyama hao kumesababisha wasiwasi...
Pili Mwinyi
Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika...
Mamia ya watumishi wa umma wa Sekta ya Afya nchini humo wamegoma kutokana na mishahara duni na mazingira duni ya kazi. Mgomo huo unawahusha madaktari, madaktari wakuu, wauguzi pamoja na...
Kunapokuwa na foleni nchini Ujerumani, madereva hulazimika kisheria kupita pembeni ya barabara ili kuacha nafasi ya magari ya dharura kama magari ya wagonjwa na zimamoto.
Je unadhani ni muhimu...
Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo...
Wataalam wa vita silaha na satelite tuchambulieni mada hii,Urusi imrusha angani satelite yenye tabia za ajabu,inayojibadilisha kitabia na inayoweza kuangamiza ICBM,hali hii imewachanganya sana...
Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda.
Kumekuwa na mapigano...
Wakuu huku London hali tete sana. Lita moja ya diesel ni £2 sawa Tsh 5600 per lita kwa hapo nyumbani, Umeme, gesi, maji nazo zime double price. Watu wanahaha
Watu wanajuta, Marekani kamuingiza...
Kutoka kupanga na kusababisha mauaji ya kimbali rwanda watu million 1 kufa, mpaka kuanzisha first African war (first congo war) na second African war(second congo war).
Vita vilivyochuka maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.