Mzuka wanajamvi!
Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki.
Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi...
Inadaiwa kuwa zaidi ya watu 100 wengi wakiwa ni kutoka jamii ya watu wa Amhara wameuawa katika eneo la Oromia Nchini Ethiopia,
Takwimu hizo ni kwa kujibu wa shuhuda wakati ambapo shuhuda mwingine...
Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za...
Hamjamboni nyote?
Kutoka Bara zima la Ulaya mpaka sasa Urusi imeangamiza jumla ya mamluki 1250 katika bara la Ulaya pekee. Unaweza kuona idadi kwa kila nchi.
Urusi imeangamiza jumla ya mamluki...
Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19.
Vyombo vya habari havijaweka wazi...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameshindwa kupata kura nyingi katika uchaguzi wa wawakilishi wa viti vya Bunge, ikiwa ni pigo kubwa kwake katika utawala wake ambapo amerejea madarakani hivi...
Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67.
Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa...
Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati...
Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi.
Alexander Drueke, 39, na Andy...
Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli...
Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
Ukitaka kujua wakimbizi ni Biashara nenda Kigoma kwenye zile kambi, kule kuna wakati zile NGOs zilizo jazana kule zilikuwa zina gombana wao kwa wao kila mmoja ikipigania kuwahudumia wakimbizi...
Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi
Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amewaomba wafanyabiashara wasiondoke na kuikimbia Urusi, akisema Urusi ni salama zaidi na ni vyema wakawekeza Urusi kuliko nchi za magharabi, kwani endapi wataikimbia...
Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi...
Nchi za Magharibi kwenye hii vita ya Urusi na Ukraine wanapigana kisayansi zaidi na kisomi
Wameanza na vikwazo vizito vikiwemo kuwatoa kwenye matumizi ya Euro,Dollar,pound na Yen na matumizi ya...
Vita vya Ukraine vinaweza kudumu kwa miaka kadhaa, aonya mkuu wa Nato
Katibu Mkuu wa Nato akizungumza baada ya mkutano na mawaziri wa ulinzi wa muungano wa kijeshi Juni 16.Image caption: Katibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.