International Forum

News and Stories from rest of the World
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa...
15 Reactions
95 Replies
42K Views
Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Jun 18, 2022 Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia Maria Zakharova ameiambia chaneli ya Kiarabu ya Sky News kwamba: "Ukraine tuliyokuwa tukiijua mimi na wewe na iliyokuwepo kwenye mipaka ya...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Licha ya kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin akizungumza katika Kongamano Jijini St Petersburg amesema vikwazo hivyo ni vya ovyo na havina malengo, pia haviwezi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu. Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Hawana silaha za kisasa kupambambana. wanategemea silaha zilizo pitwa na wakati za soviet union lakini mbona Ukraine anasaidiwa silaha? ni kweli anasaidiwa lakini Tofautisha kati ya kupewa...
2 Reactions
5 Replies
535 Views
Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
London, England, Jun 16, 2022 / 10:21 am Pope Francis has accepted a Belgian Catholic bishop’s request not to be made a cardinal at a consistory in August. Bishop Lucas Van Looy, the 80-year-old...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa...
1 Reactions
4 Replies
780 Views
Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema...
1 Reactions
2 Replies
706 Views
I have said it without number, no country in this world not even the next 100 years can challenge and defeat the US because they have everything going on them. Intelligent, huge visible economic...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda...
20 Reactions
86 Replies
6K Views
Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa FUATILIA ======== Monkeypox to get a new name, says WHO...
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Anasema Waziri wa kilimo wa Urusi. Chanzo: RT News ______---------_______--------__________--------_____ Russia to export agricultural products to ‘friendly countries’ only Vital food supplies...
3 Reactions
1 Replies
402 Views
Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa...
13 Reactions
64 Replies
5K Views
Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom