Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China.
Taasisi ya Utafiti wa...
Juan Guaidó ambaye aliungwa mkono na mataifa ya Ulaya mwaka baada ya kushindwa uchaguzi mkuu wa Urais na Nicolaus Maduro aliungwa mkono na mataifa yakimagharibi kuanzia Marekani na washirika wake...
Wananchi wameshauriwa kupunguza unywaji wa chai ili kusaidia Uchumi wa Nchi. Waziri wa Mipango na Maendeleo, Ahsan Iqbal ametoa wito huo akisema, "Tunakopa ili kuagiza Chai, kunywa vikombe...
This is a one minute surveillance video (below) from a private home doorbell camera portraying some of the nearly 200 shots fired in NW Miami Dade,Florida.
The shooters killed one and wounded...
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.
Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa...
Rais wa China, Xi Jinping ameahidi kuendelea kumuunga mkono Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika masuala ya msingi hasa Uhuru na Usalama.
Kauli hiyo imetolewa baada ya viongozi hao kuzungumza kwa...
Wakaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) wameidhinisha Uganda kutuma bidhaa za bangi barani Ulaya, gazeti la Daily Monitor linaripoti.
Bangi itakayotumwa kwenye soko la Ulaya hata hivyo si kwa...
Tunaambiwa kuwa Marekani ndio taifa lenye nguvu kabisa hapa duniani.
Lakini ukiangalia kwa undani utaona pengine ni wingi wa silaha tu lakini sio ujasiri.
Ukiangalia matendo ya Marakani dhidi ya...
Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi.
Rais Lazarus hatahudhuria mkutano...
Hali imezidi kuwa mbaya nchini India dhidi ya kitisho cha Ugaidi baada ya Putin Kuilaani India kutokana na kauli ya kiongozi wa chama tawala nchini humo dhidi ya Mtume Mohammad.
Tunasemaga kila...
Mwanajeshi huyo aliyeenda pamoja na Sniper Wali anasema ilikuwa ni majanga matupu...ilikuwa kila siku rafiki zake wanajeshi wa kigeni wanauawa...yeye akaamua kuachana na kwenda front line...
Wizara ya ulinzi ya urusi imetoa saa 24 kufikia kesho June 15 wanajeshi Wa Ukraine waweke silaha chini na kujisalimisha.
Ikumbukwe Hawa wanajeshi wanawashikilia raia 800 katika kiwanda na urusi...
Duniani kuna vituko. Huko Kansas Marekani, mhudumu mmoja wa kike (pichani) mwenye miaka 26 amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya ngono na maiti alizotakiwa kuzifanyia uchunguzi, na...
Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli
Ripoti ya Shirika la Save the...
Ufaransa ilikuwa mwanachama wa NATO mpaka mwaka 1966 ilipoamua kujitoa na kubaki Neutral state huku wanachama wote wakibariki maamuzi hayo hatukuona Makombora ya Iskander yakivurumishwa Paris...
Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia...
Katika Kituo cha reli cha Brussels Kusini nchini Ubelgiji, abiria wanatumia baiskeli za kuchaji vifaa vya elektroniki vya mkononi kama vile simu za mkononi, kompyuta za mkononi au kompyuta ndogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.