International Forum

News and Stories from rest of the World
Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine. Utafiti huo umefanywa na Kituo huru...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya. Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022 Russia Gasoline prices Litre Gallon RUB 51.790 196.046 USD 0.840 3.180 EUR 0.786 2.975 United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022 United...
20 Reactions
19 Replies
2K Views
Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by...
3 Reactions
2 Replies
967 Views
Msemaji wa FARDC Kanali Ndjike Kaiko amesema mapambano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kundi la waasi lijulikanalo kama “The March 23 Movement” (M23) yameanza...
9 Reactions
84 Replies
6K Views
1. Nigeria 🇳🇬 2. Misri 🇪🇬 3. Afrika Kusini 🇿🇦 4. Algeria 🇩🇿 5. Moroko 🇲🇦 6. Kenya 🇰🇪 7. Ethiopia 🇪🇹 8. Ghana 🇬🇭 9. Angola 🇦🇴 10. Ivory Coast 🇨🇮 Chanzo: Business Insider
0 Reactions
11 Replies
984 Views
THE TWISTS AND TURNS in the story of how Rwanda, Tanzania and Uganda have tangled and untangled over the last 35 years to create both the current face-off between Kigali and Dar es Salaam, and...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
IRGC warns Israel after missile strike on Mossad bases in Erbil Sunday, 13 March 2022 10:54 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:55 AM ] Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Waziri Mkuu WA Uingereza Boris Johnson ameeleza kwamba Uingereza itaipatia Ukraine Makombora ya kulipua meli aina ya Brimstone. Akiongea hayo Kwa njia ya video kuhutubia Bunge la Ukraine Boris...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Israel (Times of Israel) yaripoti kuwa Uingereza na Ukraine zailalamikia Russia kuwa inatumia silaha kali zaidi ktk kufanikisha malengo yake ya kuzikomboa Jamuhuri za Watu wa Donetsk na Luhansk...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi. Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria. Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika. Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini...
27 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen amewasili Ukraine, leo Juni 11, 2022 kwa ajili ya mazungumzo ya taifa hilo kuelekea kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya...
1 Reactions
14 Replies
968 Views
Vita hizi zote zinaitwa operation. USA waliita operation desert storm. Urusi waniita operation maalumu. USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe. Urusi wanataka...
26 Reactions
41 Replies
4K Views
Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha...
1 Reactions
1 Replies
779 Views
Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo. Mchina...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Mac William Bishop ni mwandishi wa habari toka Marekani akihudumia vyombo vingi vya habari ikiwemo TV na jarida la Rolling Stone. Mac atembelea safu za mbele za vita vya Ukraine kushuhudia hali...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom