International Forum

News and Stories from rest of the World
Signs of the time (Left to Right): Ghana Vice President Kwesi Amissah-Arthur, Ethiopian Prime Minister Desalegn (2nd left), President Kagame (C) Mrs Jeannette Kagame, and Azeb Mesfin Haile, former...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
1 Reactions
104 Replies
5K Views
Huko mwanzoni mwa vita Putin alikuwa anatoa sababu mbalimbali zikiwemo kuiondoa madarakani serikali ya watumia madawa ya kulevya, wanazi, na kuizuia Ukrain isijiunge Nato + EU nk. Imeripotiwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Marekani yasema kuwa Russia inatumia silaha za siri za kielectroniki ambazo zinaingilia mifumo ya kielectroniki ya mawasiliano, GPS n.k. ya majeshi ya Ukraine na hatimaye mifumo hiyo yashindwa...
16 Reactions
39 Replies
4K Views
Vita vimeiharibu vibaya Ukraine, sasa Poland imeikatia mafuta ya bure. Wakati nchi za Ulaya zikiendelea kudai kuwa ziko pamoja na Ukraine kwa hali na mali na kwamba ziko tayari kuisaidia nchi...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu sasa ndio supa power achana na russia alie tuvunja mioyo yetu. .... katika tukio la kuonesha ubavu wakati kuna wasiwasi kwamba Korea Kaskazini inajitayarisha kufanya jaribio la nyuklia...
12 Reactions
71 Replies
5K Views
Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi Meya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jeshi la ukraine jana limefanya shambulio baya sana kwenye mji wa luhansk na kuua wagner mercenaries 250-300 Huku akibakia mmoja tu ambae amechukua video hii huku akilia video yao kabla...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone. Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Hawa jamaa hawataki utani kabisa, baada ya Cocacola kususa na kusepa wakaanzisha yao. Sasa wameanzisha MacDonald food chain yao na inafanya poa sana, hii inareplace MacDnald ya US iliyosepa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Hofu imetanda kuwa Wa Afghan waliokimbilia UK kwa kuukimbia utawala wa kiisalm wa TALIBAN ndi watakuwa mstari wa mbele kupelekwa Kigali. Hii inaweza kuashiria kuwa Uk inahofia uwepo wa watu hawa...
1 Reactions
10 Replies
824 Views
Aliyekuwa Jenerali wa jeshi la Ethiopia ambaye alikamatwa katika oparesheni ya kutekeleza sheria, mnamo mwezi uliopita, kwa kuwa polisi walimshuku kwa kujaribu kutengua utaratibu wa kikatiba...
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya...
2 Reactions
4 Replies
626 Views
Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
A Bizarre Episode in Recent History On Nov 21, 1979, thousands of people surrounded the American Embassy in Islamabad and eventually destroyed the entire compound, killing a number of civilians...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Hali ya COVID 19 Kwa kiwango kikubwa imeendelea kupungua. Na ndio maana wenye kukumbwa sana na janga hili wameendekea kutafiti na kuweka kumbukumbu mzuri zinazowasaidia kuwa na maamuzi. Kuanzia...
1 Reactions
4 Replies
752 Views
Back
Top Bottom