International Forum

News and Stories from rest of the World
Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa...
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
UKIHADITHIWA tu na mtu yeyote unaweza kusema ni hadithi ya kutungwa, lakini ukweli ni kwamba kuna watu huko kwenye visiwa vya Papua New Guinea ambavyo vimezungukwa na bahari inayoitwa Bismarck Sea...
5 Reactions
45 Replies
12K Views
Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe kwa kuchochea maandambano na vurugu zilizzofanyika Jan 6 2021 kwa waandamamji kuvamia jengp la Bunge FUATILIA HAPA Trump accused of...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Huku majenerali wakiendeleea kuuawa vitani, kaona heri awapunguze mwenyewe maana sio kwa aibu ambayo Urusi inazidi kupata kutoka kwa kajirani kadogo Ukraine. Binafsi hainingii akilini hii ni ile...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Serikali ya Urusi na ya Uturuki zilifanya kikao maalum kwa ajili ya kupata njia ya kusafirisha nafaka kupitia bahari nyeusi eneo ambalo limewekewa milipuko na Serikali ya Ukraine ili kujilinda na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakili Busisiwe Mkhwebane anadaiwa kutawaliwa na shutuma za upendeleo wa kisiasa ambapo idadi kubwa ya uchunguzi wake toka ateuliwe mnamo 2016, umekataliwa na Mahakama, na hivyo kuzua maswali...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Tarehe 9 Juni 2022 "Nyumba ya Kitabu cha Sauti ya City Park" ilizinduliwa katika bustani ya umma ya Zhengzhou mkoani Henan, yenye zaidi ya vitabu 16,800, na wakazi wa huko wanaweza kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
- Tokea kupatikana kwa Uhuru wa Taifa la marekani 1776 hapajawahi kutokea Rais mwanamke kwenye taifa hilo lenye miaka 246 na marais wote waliopita takribani 46 wote ni wa jinsia ya kiume. -...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Almasi mbili zenye uzito wa zaidi ya wakia 100 zimeonyeshwa katika mnada wa Sotheby huko New York, nchini Marekani.
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Wajumbe wa Urusi na Wajumbe wa Ukraine wanatarajiwa kukutana leo kwa mazungumzo nchini Belarus ikiwa ni mara ya pili ya mazungumzo ya ana kwa ana tangu Urusi ilipoivamia Ukraine kijeshi siku nane...
1 Reactions
8 Replies
892 Views
Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ametangaza kujiuzulu Ubunge akisema kuanzia sasa hataki kujihusisha na shughuli zozote za Serikali Basil Rajapaksa ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Fedha...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
My take:I didn't see Al Jazeera, CNN or BBC reporting about the Palestinian urinating on Al Aqsa. Weird. ==== Israeli police arrested on Wednesday a Muslim on suspicion of rioting, violating the...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Hafla ya kuanzisha basi No.8 linaloonyesha Opera ya Guangdong ilifanyika tarehe 8 Juni kwenye jumba la makumbusho ya sanaa ya Opera ya Guangdong mjini Guangzhou, China. Kwenye hafla hiyo, basi...
1 Reactions
0 Replies
466 Views
Katika mazoezi ya Pamoja, Jeshi la Korea Kusini na Marekani yamefyatua makombora 8 ya Masafa Marefu (Surface to Surface Missiles) kujibu uchokozi wa ufyatuaji wa makombola unaofanywa na Korea...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kutoka Shirika la habari la Reuters zinaeleza kwamba Jasusi mbobezi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alinusirika Kuuawa mwanzoni kabisa mwa mgogoro wa Vita ya Ukraine. Kwa sasa Putin...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom