International Forum

News and Stories from rest of the World
Huu ni Mtazamo wangu TU. Katika vita zote kuna harakati kubwa mno nje na ndani ya uwanja vita,ambazo wanaopigana Kila mmoja hufanya ili kurahisisha kutaka kushinda vita.Harakati hizo ni...
15 Reactions
28 Replies
4K Views
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia. Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa...
19 Reactions
65 Replies
3K Views
Mwanamama Allison Fluke-Ekren raia wa marekani amekiri kushiriki katika kutoa mafunzo kwa jeshi la wamawake wa IS. Iwapo atatiwa hatiani anaweza kufungwa hadi miaka 20 jela FUATILIA HAPA US...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Urusi yataka iondolewe Vikwazo ili iruhusu Chakula Kutoka Ukraine. Urusi imekuwa ikiiba na kuteka Nafaka za Ukraine. Ombi hili la Urusi, linaonyesha wazi Urusi inatafunwa vikali na Vikwazo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jean Caude Sangwa Raia wa DRC aliyekuwa akiendelea na masomo nchini Ukraine ameamua kujiunga na wapiganaji wa Ukraine wanaomuunga mkono Putin. Hongera Comrade Kangwa FUATILIA HAPA The Congolese...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bunge la Urusi limepitisha miswada miwili inayomaliza mamlaka ya Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu nchini Urusi, baada ya kutangaza kuwa itaondoka katika mahakama hiyo mwezi Machi kutokana...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov. Inaelezwa gari lake lilishambuliwa...
8 Reactions
85 Replies
5K Views
Mwanamama Parisa aliondoka Irani na kukimbilia Turkey ambako yuko katika hatihati ya kurejeshwa nchini mwake. Mama huyu anapambana kutorejeshwa nchini mwake kwakuwa mumewe atamuua. Jamii hizi...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi Mtu kama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Today marks the beginning of the Six-Day War in 1967. Israel, who was overwhelmingly outnumbered in men, tanks, and planes - defeated an Arab coalition of 13 countries. We honor the ones who made...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Kiwanja cha Ndege cha Istanbul kinachojengwa kwa awamu nne na kutarajiwa kumalizika mwaka 2025, kitakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 200 kwa mwaka Awamu ya kwanza ya ujenzi inayojumisha...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimeona nianzishe uzi huu, baada ya kuona kwa muda mrefu watu wakizichanganya hizi nchi mbili tofauti. Mbaya zaidi hata waandishi wa habari wa ndani ya Tanzania na wale wa idhaa za Kiswahili za...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
Watawala wa kijeshi wa Mali wameahidi kurejeshwa kwa utawala wa kiraia katika kipindi cha miaka 2, kufuatia kuandamwa na vikwazo kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS Vikwazo...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Congo ili kupigana Na Rwanda tunabidi tutumie Akili nyingi. Sawa Rwanda ni nchi ndogo kuliko Congo. Sawa Congo ni nchi yenye nguvu kuliko Rwanda ila tunatakiwa tujuwe walio nyuma ya Rwanda ni...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi hiyo inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kushuhudiwa ndani ya miaka 40, uliosababishwa na mvua kutokunyesha kwa misimu 4 huku bei ya chakula katika soko...
0 Reactions
1 Replies
564 Views
China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita. Wanaanga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Prime Minister Boris Johnson has married his fiancee Carrie Symonds in a secret ceremony at Westminster Cathedral, it has been reported. The wedding was held in front of close friends and family...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya...
1 Reactions
2 Replies
630 Views
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa...
1 Reactions
1 Replies
631 Views
Back
Top Bottom