Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57.
Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda.
Jeshi la Jamhuri ya...
Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol.
Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula...
Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika.
Alfred...
Kila nikijaribu kufatilia adha zinazotokea Mashariki ya Kati huwa nasikitika sana, Israel inafanya mauaji ya kutisha kwa Wapalestina, inakadiliwa kila siku Wanajeshi wa Palestina wanaua mtu huko...
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Wanajeshi wa Urusi, mambo yanazidi kwenda ndivyo sivyo, sasa ni rasmi Wanajeshi wa Ukraine wanaoilinda Kharkiv wafika mpaka wa Urusi. Hii hatua kubwa sana kwa Jeshi la...
Kwa mara nyingine nchini Nigeria mwanafunzi wa chuo mkristo ameuawa na Wanafunzi Waislam.
Waislam mna shida sana mnatakiwa kujitafakari, pamoja na kashfa nzito na udharilishaji mnaotufanyia...
Urusi ilianza kwa mbwembwe za kutieka Kyev na wakampa rais wa Ukraine masaa aondoke akimbie la sivyo wanakuja kumpindua, Zelensky akawa jeuri akasema haondoki katu, akaomba apewe silaha, hapo...
Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this?
I truly hope not as the war wouldn’t be fought in US but in Europe.
But there is something that our American allies...
Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana umezuka katika ghala la kuhifadhia makontena Sitakunda, kusini mashariki mwa Bangladesh, na kuua takriban watu 16 na kujeruhi zaidi ya 170...
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka...
Nimeshikwa na butwaa kusikia mwandishi wa habari za saa 1 jion leo anatangaza kwamba AU waionya Russia kuhusu Vita ya Ukraine, hivi Afrika wanawezaje kumuonya Russia ,Hawa watangazaji lazima...
Kijana huyo ambaye alikua mtangazaji wa habari na alitokea kwa familia ya kitajiri amesababisha taharuki maana kifo chake hata haikuchukua zaidi ya wiki moja tangu igundulike anacho kirusi...
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine
Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
Rwanda imelaumu Jeshi la MONUSCO la Umoja wa Mataifa kwa ukimya wake wakati huu ambapo mgogoro wa taifa hilo dhidi ya DR Congo ukiendelea.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.