International Forum

News and Stories from rest of the World
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vimeigharimu Ukraine $564.9bn (£429.3bn) kufikia sasa katika uharibifu wa miundombinu, kupoteza ukuaji wa uchumi na mambo mengine, kulingana na waziri wa uchumi wa...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Haya majitu wamevamia mataifa mengi, wameua marais wengi wa mataifa mengi hususani raisi akipingana na sera zao zakinyang’anyi, wamedumaza maendeleo ya mataifa kama vile Iraq, Afghanistan, Syria...
89 Reactions
261 Replies
16K Views
Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la...
3 Reactions
2 Replies
603 Views
Chombo cha habari cha Uingereza,The Guardian, kinasema kuwa Russia inashinda mechi zake za vita vya kiuchumi, na Putin hana dalili ya kuondoa majeshi yake nchini Ukraine licha ya msururu wa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi. Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Hatua hiyo inajiri kufuatia kuuawa kwa Sunday David (38) na watu wanaoshukiwa kuwa waendesha bodaboda maarufu kama Okada baada ya kutofautiana kuhusu nauli mwezi uliopita, jambo ambalo lilizua...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha...
7 Reactions
100 Replies
5K Views
Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk Tukio hilo ni...
0 Reactions
9 Replies
832 Views
Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tazama video hii kumbe biashara hii huko Zimbabwe ni ya kweli [emoji848]
-1 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika vita inayoendelea baina ya NATO (kupitia Ukraine) na Urusi nimejifunza mengi. Lakini kwa umuhimu nitaweka machache japo moja ambalo ni funzo kwa Taifa lolote linalotaka kufanya legacy yake...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Rais Putin haumwi saratani ni buheri wa afya. Siyo kweli kwamba Rais Putin haonekani hadharani kwani kila siku anaendesha vikao na wananchi wanamwona...
1 Reactions
9 Replies
963 Views
Umoja wa Ulaya umetoa kibali chake cha mwisho kwa vikwazo vipya kwa mafuta ya Urusi na benki kuu ya Sberbank, kama adhabu ya vita Viongozi wa Umoja wa Ulaya walikubaliana Alhamisi, June 2, zuio...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku...
0 Reactions
5 Replies
655 Views
Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu. Umoja wa...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo...
0 Reactions
3 Replies
660 Views
Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali...
8 Reactions
63 Replies
5K Views
Inaonekana safari ya DRC kuingia EAC imeiva. Bado hatua chache tu lakini technically ni imekubaliwa. Inasemwa kuwa lengo la Kenya kwenye EAC ni kupata soko la bidhaa zake, kuwekeza mtaji wake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa Lavrov...
4 Reactions
92 Replies
6K Views
Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom