International Forum

News and Stories from rest of the World
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu...
13 Reactions
90 Replies
7K Views
Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza FUATILIA...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Six million Canadians detained in largest prison in the World.These are voices which need to be heard. Luma Catherine Malone I am one of over 6 million Canadians who are currently forbidden to...
0 Reactions
5 Replies
998 Views
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo...
19 Reactions
93 Replies
8K Views
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa. Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina...
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa. Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao...
2 Reactions
5 Replies
989 Views
When White House staffers Joe Mahshie and Brian Mosteller tied the knot yesterday (Aug. 1), US vice president Joe Biden officiated, at their request. The small wedding ceremony took place in the...
1 Reactions
74 Replies
15K Views
Tarehe mosi, Juni ni Siku ya Watoto China. Watoto ni maua ya nchi na mustakabali na matumaini ya taifa. Kutoka "Vijana wafanye kazi kwa bidii maishani, wasiwe wavivu wa kupoteza muda" hadi...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away...
7 Reactions
64 Replies
5K Views
Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
25 May 2022 Pretoria, Gauteng Republic of South Africa The EFF commits to fight tooth and nail the "micro management" of African affairs by France The EFF has committed to fighting tooth and...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa...
7 Reactions
79 Replies
5K Views
Serbia ni mojawapo ya nchi za Ulaya na ambayo ilifanya maombi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 2009. Majadiliano yake na EU kuhusu kukubaliwa uanachama yanaendelea na inategemewa kupewa...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom