Tangu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka jana, moja katika ya mambo ambayo amekuwa akiyasisitiza mara kwa mara ni kutaka diaspora ya watanzania kujitokeza...
Fadhili Mpunji
Changamoto ya ajira kwa vijana katika nchi nyingi za Afrika ni jambo ambalo linazungumzwa sana na wanasiasa na watunga sera. Karibu kila nchi ya Afrika ina tatizo la ukosefu wa...
Ni nchi iliyojiandaa kikamilifu kwa ajili ya vita vya nyuklia kuliko nchi yeyote hapa duniani. Kama vita vya nyuklia vingetokea Warusi wengi wangenusurika wakati mataifa mengine pamoja na Marekani...
Hali ya Demokrasia na Utawala Nchini Tunisia inaendelea kuwa tata baada ya Rais Kais Saied kuwafuta kazi Majaji 57 akiwatuhumu kwa Ufisadi na kulinda Magaidi
Rais Saied ambaye mbali na kuvunja...
Wanasayansi wamegundua mmea mkubwa zaidi duniani katika pwani ya Magharibi ya Australia. Mmea huo una miaka zaidi ya 4,500 na ukubwa wake unakisiwa kuwa ni kilomita 180.
Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga...
Ramzan Kadyrov ameonekana kwenye video ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida akipigana na kumgaragaza mswidi Khamzat Chimaev ambaye ni mtaalamu (professional) wa mieleka na mpiganaji wa staili...
Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni...
Wafuatao ni wanamapinduzi watatu maarufu kutoka bara la Asia katika nchi za Singapore, China, Korea ya kusini na michango yao ya kiuchumi kwa mataifa yao
1. LEE KUAN YEW [ SINGAPORE [emoji1215]]...
Jeshi la China limesema mazoezi na doria ambazo zimekuwa zikifanyika katika Anga na Bahari karibu na Taiwan ilikuwa hatua ya lazima kujibu kile ilichosema ni 'ushirikiano usio halali' kati ya...
India inatarajia kuunda jopo la rufaa lenye uwezo wa kutengua maamuzi ya udhibiti wa maudhui ya makampuni ya mitandao ya kijamii, ikilenga kudhibiti maidhui ya mitandaoni na kuiwajibisha zaidi...
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike...
Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao...
Russia ameanza kukagua mitambo yake ya nyuklia na amesema ataitumia kuiangamiza Ukraine ikilazimu
Ndugu zangu watanzania jiwekeeni akiba ya chakula
Ni baada ya Marekani kuipa silaha kali kabisa...
Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China.
Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri...
Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake.
Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha...
Let me say this,it might sound strange ,indeed stranger than fiction but hell desparate times call for smart albeit unconventional moves. In less than four month we "celebrate " 50 years of...
Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco...
Kampuni ya kusambaza gesi ya urusi ya Gazprom imezikatia huduma nchi za denmark na German baada ya kampuni yao ya SHELL ENERGY EUROPE LIMITED yenye dhamana ya kuwasambazia gesi nchi za Denmark na...
Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla.
Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.