International Forum

News and Stories from rest of the World
Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kurejea kupigana nchini Ukraine kwa sababu ya uzoefu walioupata wakiwa mstari wa mbele mwanzoni mwa uvamizi huo. Hii ni kwa mujibu wa wanasheria na...
1 Reactions
4 Replies
551 Views
Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Marekani itasimamia nafasi yake katika kudhibiti mvutano na China na kuzuia mapigano licha ya Beijing kuzidisha mabavu katika Ukanda wa Asia, ikiwemo karibu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kamisheni ya Ulaya imetoa mapendekezo ya kutaka Ukraine iruhusiwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, kauli ambayo imetolewa wakati Urusi ikiendelea kushinikiza Nchi hiyo kutoruhusiwa kujiunga na...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
U.S.A is responsible for the biggest hollocaust of all time.The U.S bombed China 1945-46,Korea 1950-53,Guatemala 1954,Indonesia 1958,Cuba 1959-60,Guatemala 1960,Belgian Congo 1964,Guatemala...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Msako wa Wanigeria wanaoweza kubadilika na kuwa paka 21 Machi 2022 Onyo: Makala haya yana maelezo ambayo yanaweza kuwakera baadhi ya wasomaji Wale waliokuwa na hamu ya kukaribia soko la Gbagi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii jumuia ni ya ajabu sana kwa sababu moja ya sifa za Jumui ni kwa wanachama kuwa na umoja na upendo pia, ila sasa kwa EAC ni full kutafutana. Uganda ana bifu na Kenya kuhusu Biashara, bado ana...
1 Reactions
3 Replies
870 Views
Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Captain Falls Overboard From Bulk Carrier, Survived 3 Days By Clinging To Wood. A Turkish captain heading a capsize bulk carrier dubbed QUORN was lost overboard on 2 May in the waters of the Java...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
A dad who took his family on a skiing holiday to his native Ukraine has spoken of his fears that he could be drafted into the army to fight against the Russians Tymofii Dmytrenko, 39, went with...
1 Reactions
4 Replies
722 Views
Waziri anayehusika na Mipango wa Pakistani amependekeza kuwa wananchi wapunguze unywaji wa chai kwa kuwa Serikali hutumia fedha nyingi kuingiza chai kutoka nje ya nchi, pendekezo hilo...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Leo Juni 17 inatimia miaka 28 ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Kauli mbiu ya kimataifa ya siku hii ni “Kushirikiana Kupambana na Ukame na Kupata Maendeleo ya Pamoja”, na kauli...
1 Reactions
3 Replies
643 Views
Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
-Ndege kubwa ya kwanza ya abiria iliyotengenezwa na shirika la ndege la biashara la china [ COMAC] imefanyiwa Majiribio yake kwa mara ya kwanza mnamo siku ya jumamosi ya tarehe...
19 Reactions
128 Replies
7K Views
Back
Top Bottom