International Forum

News and Stories from rest of the World
Jeshi la Ukraine limeanza taratibu kujiondoa katika Eneo la Viwanda vya Kemikari walipokuwa waneshikiliwa kwa sababu zifuatazo: 1, HAKUNA KILICHOBAKIA, kila kitu kimechomwa Moto na makombora na...
2 Reactions
9 Replies
696 Views
Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na...
1 Reactions
1 Replies
621 Views
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar Vikwazo hivyo...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Estonia imelalamika kuwa Urusi inapanga kuishambulia nchi hiyo (Estonia-nchi mwanachama wa NATO) kwa mvua za makombora. Malalamiko yamegusia kuwa Urusi iko inafanya missile simulations juu ya...
15 Reactions
77 Replies
4K Views
Umoja wa Mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000. Umoja wa mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba...
3 Reactions
96 Replies
5K Views
Na Zaid Bin Shabir Ok Uchambuzi yakinifu wa takwimu umepangua mitazamo potofu kuhusu haki za wanawake wa J &K hususani kutoka Kashmir “kuzuiliwa” na mfumo dume kabla ya Agosti 2019. KUZIMA...
1 Reactions
5 Replies
955 Views
Kama kawaida, watu wengi wamekua wakijua na kusoma au kusikia mambo ya syansi ya juu ya Marekani na Ulaya tu,Nadhani hii ni kutokana na kuwa, pengine mambo ya Mashariki hayapatikani sana sehemu...
17 Reactions
72 Replies
16K Views
Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo. "Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Mtoto huyu mdogo ndiye pekee aliyesalia katika familia yake. Wenyeji wanasema hawakuweza kupata mtu yeyote wa familia yake aliye hai. Anaonekana kama mtoto wa miaka 3.
5 Reactions
9 Replies
587 Views
Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than...
3 Reactions
4 Replies
941 Views
Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la...
2 Reactions
4 Replies
719 Views
Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres...
0 Reactions
6 Replies
659 Views
Picha ya kwanza ni: Na picha ya pili ni: Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Zelensky jana jumatatu amehutubia Umoja wa nchi za Afrika (AU) mtandaoni. Ameziomba ziipe ushirikiano Ukraine sambamba na pia zisiisapoti Urusi, kwamba Urusi inataka kurejesha Ukoloni . Umoja wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tukirejelea msemo wa "Hata katika hali mbaya kunaweza kupatikana mazuri ukitazama kwa bidii" haya yanaweza kuwa mazuri yatakayotokana na vita vya Russia nchi Ukraine. 1. Mapinduzi makubwa ya...
1 Reactions
1 Replies
691 Views
Kwa mujibu wa Bloomberg.com hivi sasa Russian rubble ndiyo fedha inayoimarika zaidi duniani. Licha ya vikwazo vyote kutoka U.S.A na washirika wake Russia wanaendelea kuchanja mbuga kwa kuimarisha...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi...
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Back
Top Bottom