Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga Kura kuisimamisha Urusi katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja huo (UNHRC) kama adhabu kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine
Kati ya Wajumbe 193 wa...
Ombi la kuisimamisha Urusi na kuitoa kwenye Baraza la Haki za binadamu la UN limeletwa na Marekani.
Zoezi la upigaji kura linaendelea mubashara BBC.
Tanzania tunasimama na nani US au Russia au...
Russia inazidi kudhihirisha kua ni taifa lenye nguvu kubwa duniani, pamoja na kuwekewa vikwazo vingi kuliko taifa lolote duniani tofauti na matarajio ya EU na US sarafu ya Russia Rubles imezidi...
Naona vizio vya kupanda kwa bei ya mafuta na baadhi ya huduma muhimu vinasikika kote duniani. Sababu kuu inasemwa ni vita inayoendelea nchini Ukraine. Pengine mini ni mchanga ktk historia. Naomba...
Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
Waziri Mkuu wa Sweden, Stefan Lofven, ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka saba amejiuzulu wadhifa wake baada ya Bunge la Nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani yake wiki iliyopita.
Alikuwa...
Mzuka wanajamvi!
Sankshen zinabite kichiz kwa Putin. Biden sasa hivi ameamua kuendelea kupiga vikwazo vya kiuchumi kwenye inner circle ya Putin na familia zao.
Kampiga vikwazo vya uchumi mpishi...
Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji
MAUZO
Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo
Hungary imesitisha uingizaji wa...
Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake.
Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele.
Kuwa viongozi wao si wezi, pana...
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga...
Ujerumani inaeleza kwa nini haitapiga marufuku gesi ya Urusi
Berlin haiamini kuwa vikwazo vya nishati vinaweza kumaliza mzozo wa Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock...
IRAN YAIDUKUA SIMU YA MKE WA MKUU WA #MOSSAD.
Taarifa kutoka The Times of Israel zinasema kuwa, simu ya mke wa mkuu wa mossad imedukuliwa na kikundi kinachoaminika kuwa ni cha Iran, katika...
'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge.
Mamlaka...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini Sheria inayomruhusu kugombea kwa mihula mingine miwili baada ya muhula wake unaomalizika mwaka 2024
Sheria hiyo ambayo inamuwezesha Putin kusalia madarakani...
Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine.
Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin.
Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa...
Urusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011.
Urusi...
Mahakama mjini Moscow yamhukumu kwenda jela siku 30 kiongozi wa Upinzani nchini humo bwana Alexei Navalny kwa kosa la kuandaa maandamano ya kumpinga rais Putin bila kibali cha vyombo vya usalama...
Jeshi mahiri na lenye morali isiyo na mfano la Ukraine wamedaka mdude wa kirusi ambao kwa sasa uko njiani kupelekwa Ulaya kabla ya kupelekwa Marekani kuchunguzwa kwa kina. Ni matumaini ya wapenda...
Moscow
Imeelezwa kuwa mamlaka za Urusi zilikamata jengo la Alexei Navalny lililoko mjini Moscow pamoja na kuzishikilia akaunti zake wakati akiwa bado hajitambui na akiendelea na matibabu baada ya...
1. Rais Putin mbali na kuungwa mkono na chama chake, uchaguzi wa mwaka huu anagombea kama mgombea binafsi.
2. Mke na mshauri wa Mufti wa Russia(Dagestan) na mwanahabari aliyefanikiwa pia mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.