Sisitizo la Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa sarafu ya Dola
Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Moscow na Beijing zimekusudia kutumia fedha zao za kitaifa katika...
Rais Vladimir Putin amesaini Muswada mpya inayompa yeye pamoja na Marais waliopita nchini humo kinga ya kisiasa milele. Hatua hiyo inamaanisha Rais na Familia yake hawatafunguliwa mashtaka yoyote...
Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54
Hamjamboni wadau
Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu
kwenye kikosi maalumu cha...
Vikwazo walivyoweka EU kwa kulazimishwa na Marekani,huenda vikawaletea madhara makubwa EU kiuchumi.
Iwapo russia itasitisha upelekaji wa gas ulaya,makampuni mengi makubwa yatafungwa na watu wengi...
Historia ya vita haioneshi kwamba ni lazima mwenye nguvu ashinde.
Vipo vita vingi viliwahi kutokea ambapo mataifa yaliyoonekana dhaifu yaliibuka washindi.
Franco Prusian War ya 1870-1871 kati ya...
Kulingana na ripoti mpya ya kushtua kutoka kwa viongozi watatu wa #BlackLivesMatter, Patrisse Cullors, Alicia Garza na Melina Abdullah walirekodi video msimu uliopita wa joto, Katika video hiyo...
Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya...
Kuna pande mbili kuu katika mzozo huu moja ikipata upendeleo zaidi na vyombo vya habari duniani(social media warfare) huku nyingine ikiichwa mbali.
Vladimir Putin ameivamia Taifa huru jambo...
Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion)...
ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas.
ExxonMobil ni kampuni ya...
Hamjamboni nyote?
Rais Kagame amefanya ziara nchini Zambia na kukaribishwa na mwenyeji wake Rais Hichilema
Amezuru maeneo maarufu ya utalii nchini humo yaliyopo kwenye maporomoko ya Victoria
Habari ndugu wana JF
Kama inavyoonekana katika vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Urusi na Ukraine.
Mgogoro huu chanzo chake kikubwa ni dhamira ya UKRAINE Kujiunga...
Huu ni mtazamo huru nasita kuuita unabii maana neno hilo lina maana kubwa zaidi.
Kwa wakati huu, vita kubwa kama hii inavyoendelea kutanuka na kubadili mitazamo ya kimataifa ya kimahusiano...
Viongozi hao wawili walifikia makubaliano ya kuunganisha muundo wa kamandi ya jeshi baada ya wiki kadhaa za mzozo kati ya pande hizo mbili.
Vikosi vya Kiir na Machar vilitia saini makubaliano ya...
Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga..
Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia...
Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi.
"Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza:
Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli.
"Kwetu...
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na...
Nchi mpya inaweza kuundwa ndani ya shirikisho la nchi za Afrika mashariki.
Shirikisho la Afrika Mashariki, ni muungano unaopendekezwa wa nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.