Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za...
Wakuu. Hebu leo tuongelee kuhusu mambo ya vita.
Tunaona kwamba maendeleo ya mwanadamu katika muktadha wa teknolojia yana faida na hasara. Lakini kuna hasara kubwa sana kwenye upande wa vita na...
Baraza zima la mawaziri la Sri Lanka limejiuzulu kufuatia maandamano makubwa ya kuipinga serikali, yaliyofanyika licha ya sheria ya kutotoka nje iliyotangazwa mwishoni mwa juma lililopita...
Linking the currency to gold and energy is a paradigm shift for the global economy, a precious metals analyst tells RT
The Bank of Russia has resumed gold purchases this week, but more...
Mahakama Kuu nchini Pakistan inatarajiwa kuamua hatima ya Waziri Mkuu Imran Khan, kufuatia siku moja ya machafuko ya kisiasa.
Bw Khan amekabiliwa na jaribio la kumwondoa madarakani hivi karibuni...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa
121 kati ya...
Ujerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia.
Hatua hiyo imechukuliwa wakati kuna hali ya kutoelewana kuhusu...
China imetangaza maambukizi mapya 13,146 ya #COVID19 ambayo yametajwa kuwa ni makubwa kuliko yaliyowahi kuripotiwa tangu Februari 2020
Kirusi cha Omicron kimesambaa majimbo mengi. Maelfu ya watu...
There are two reason
First, Indonesia is a sovereign and independent country that can allow or invite whoever it wants into our country regardless of his or her political affiliation or actions...
Emmanuel Macron aapa kuleta nafuu ya mfumuko wa bei nchini Ufaransa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron jana amefanya mkutano wa kwanza wa hadhara kabla ya kufanyika raundi ya kwanza ya uchaguzi wa...
Kwa taarifa zilizopo, China ndio chanzo cha maambukizi na usambaaji wa virusi vya corona- wanapaswa kuwajibishwa namna ile ile iliyotumika kuiwajibisha Uerumani ya Hitler kwa kuwa chanzo cha vita...
Waziri mkuu wa poland amesema vikwazo walivyoiwekea urusi havina maana yoyote,kwani urusi haiathiriki kama walivyotarajia,na thamani ya pesa yake inapanda,fungua screenshort hapo chini,wamarekani...
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua...
Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya...
Safari ya Amir wa Qatar Saudi Arabia
May 13, 2021 08:49 UTC
[https://media]
Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani, tarehe 10 Mei alifanya safari chini Saudia Arabia ambapo alikutana na...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewaonya watu wake mapema leo Aprili 2, 2022 kuwa wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika maeneo yao wanatengeneza kile amesema ni "mazingira ya maafa" nje ya...
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je...
Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya...
kwa sasa, na kwa mwaka huu wote nchi ya Qatar imetrend na itatrend sana sababu ya fainali za kombe la dunia kufanyika huko. naomba kuelimishwa kuhusu hii nchi.
Historia yake, utamaduni, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.