International Forum

News and Stories from rest of the World
Astute ni nyambizi mpya kabisa zinazotarajiwa kuanza kazi kwenye jeshi la majini la Uingereza kuanzia mwaka 2018. Nyambizi hyo inaendeshwa kwa nguvu za nyuklia pia inatajwa kua ni nyambizi kimya...
8 Reactions
48 Replies
15K Views
Nr.1 Zumwalt Class (USA) Hizi meli vita mpya kabisa ndani ya jeshi la Maji la Marekani,zilikabidhiwa rasmi kwa jeshi hilo mwaka 2016. Zumwalt class imetengenezwa na kampuni ya General Dynamics...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Urusi ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi lakini halina Uchumi imara. Marekani ni Taifa kubwa,lina nguvu kubwa mno za kijeshi na pia Uchumi wake ni imara mno. Urusi chini ya Putin...
17 Reactions
125 Replies
12K Views
Ripoti ya Hali ya ldadi ya Watu Duniani mwaka 2022, iliyotolewa Machi 30, 2022 na Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) imeonyesha kuwa karibu nusu...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Baada ya Marekani na washirika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya Russia, rais wa nchi hiyo Vladimir Putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu...
0 Reactions
113 Replies
10K Views
Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Jeshi la wana maji la Marekani limeonyesha silaha ya kushambulia adui kwa kutumia Laser beam. Ina maana hii ni invisible killer, inakuja bila kuonekana unasikia tu paaa. Naona wenzetu wame-advance...
9 Reactions
114 Replies
17K Views
Heavy US Military artillery [Photo: Courtesy] The United States of America is the most powerful military power the world has ever known. Since the end of the Second World War, America has enjoyed...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan' Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Huenda Marais wengi duniani kupenda kufanya 'Cabinet Reshuffle' ni Jambo la Kawaida na pengine ni Mimi tu GENTAMYCINE ndiyo sifahamu. Ni Nadra mno kuwasikia akina Kenyatta, Kagame, Ramaphosa na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya...
22 Reactions
79 Replies
6K Views
Kuna msemo unasema kumtegemea binadamu (mtu, jamii, nchi etc) Ni kujiweka rehani. Hi inaenda kumkuta mjerumani na wenzake nchi za Ulaya, hasa baada ya Vita hii ya Ukraine na Urusi. Kwaufupi...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Rais wa Tunisia Kais Saied Jumatano amelivunja bunge la nchi hiyo na kusema kwamba wabunge watafunguliwa mashtaka, akijiongezea mamlaka zaidi kwa kipindi cha miezi 8 na kuongeza zaidi mzozo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwisho leo Leo Alhamis ya tarehe 31 Machi 2022 ndio mwisho uliotangazwa kwa nchi maadui wa Russia kulipia gesi, mafuta na bidhaa zake kwa pesa za Dola na Yuro Au pesa nyengine yeyote isipokuwa...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Urusi imeingiwa na gadhabu baada ya marekani kufanya hatua za haraka za kuichukua Ukraine na kuwa miongoni Mwa nchi zitakazokuwa chini ya uangaliazi wa Marekani kama ulivyo Japan, Taiwan na...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Korea Kaskazini iliyodai kuwa ina silaha za nyulia na inaweza kuishambulia Marekani huku wadadisi wakisema kuwa ikiwa Korea Kaskazini ina silaha za nyulia haibainiki ikiwa ina teknolojia ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
The scale of victory - which had been widely predicted - appears to be a marked increase in his share of the vote from 2012, when he won 64%. Mr Putin's nearest competitor, Pavel Grudinin, had...
1 Reactions
58 Replies
4K Views
Huyu sio mbu mdudu bali ni camera ya kijasusi (spy camera), lakini kinang'ata kama ilivyo mbu yule mdudu wa marelia. Dunia inazunguka sana, Wakati sie tukipiga porojo za ccm itatawala miaka mia...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
Kwa wasioelewa kiongozi wa upinzani hapa urusii anasema taifa la Israel na Ukraine yalimazishwa makusudi kuleta mtafaruku mashariki ya kati na urusi, Kaendelea kusema kwanini mwaka 1948 Haifa la...
3 Reactions
104 Replies
8K Views
Kwa kifupi maseneta wa marekani pande zote mbili wa Democrat na Republic wanaonekana kutoridhishwa na jinsi sera za vikwazo dhidi ya Urusi ambavyo inacheleweshwa cheleweshwa, na kwenda mbali na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom